A photo with a thousand explanation... A thousand meaning...!!!

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,754
Naamini hata mpigaji wa hii picha hakujua kama inaweza kuwa picha bora kiasi hiki.. Lakini ya rohoni yana nguvu kuliko ya mwilini...
Picha hii ni picha bora ya muda wote katika siasa za upinzani Tanzania.... Ni picha iliyobeba maudhui mazito ya upendo wa asili... Upendo wa dhati ya moyoni
Ni picha itakayoishi miaka 1000 bila kuchuja.. Na kuna siku itakuwa gumzo kubwa...!!!
Ni hayo tu kwa leo
tapatalk_1590166850924.jpg

Jr
 
Naamini hata mpigaji wa hii picha hakujua kama inaweza kuwa picha bora kiasi hiki.. Lakini ya rohoni yana nguvu kuliko ya mwilini...
Picha hii ni picha bora ya muda wote katika siasa za upinzani Tanzania.... Ni picha iliyobeba maudhui mazito ya upendo wa asili... Upendo wa dhati ya moyoni
Ni picha itakayoishi miaka 1000 bila kuchuja.. Na kuna siku itakuwa gumzo kubwa...!!!
Ni hayo tu kwa leoView attachment 1463262

Jr
Shida ya ukweli... Ata ukiuficha, ubaki kuwa ukweli siku zote!
 
Naamini hata mpigaji wa hii picha hakujua kama inaweza kuwa picha bora kiasi hiki.. Lakini ya rohoni yana nguvu kuliko ya mwilini...
Picha hii ni picha bora ya muda wote katika siasa za upinzani Tanzania.... Ni picha iliyobeba maudhui mazito ya upendo wa asili... Upendo wa dhati ya moyoni
Ni picha itakayoishi miaka 1000 bila kuchuja.. Na kuna siku itakuwa gumzo kubwa...!!!
Ni hayo tu kwa leoView attachment 1463262

Jr
Vijana ndo future generations big up
 
Bado ipo safari mujarabu kufika mnapopataka!!
"Upinzani" umebeba tafsiri nzima ya hilo neno!
Inahitaji mabadiliko ya kimaana ili tuone badiliko yarajiwa!..

Umeandika picha hiyo kuwa na tafsiri takribani 1000.. lakini sijaona tafsiri yako hata moja!!
Binafsi sielewi ni kivipi nguvu ya kumsemelea kiumbe ambae hajalikanyaga jukwaa kuwa kana kwamba amelikanyaga!!

Kinachotokea sasa kutajwa kwa mpingwaji kuwa anamaouvu yake ni kwakuwa analikalia jukwaa!,ila siku huyu nae akilikalia jukwaa mtapata la kuteta pia dhidi yake ila ujasiri wa kuona kisichoonwa sijui mnautolea wapi!!..

Walikuja wakaishi,wakaondoka na Kila kitu kina wasaa wake na nyakati zake na kwenye heshima kila kitu kipewe heshima kutokana na mchango wake... Hata kinachotakiwa kiondoke tambueni ndicho kilicholeta jukwaa la kutambia!

Tafsiri yangu ktk hiyo picha ni kuwa
Hata penye giza hupata upenyo wa mwanga ambao huambatana na upepo umbao huwa kama tumaini kwa wengine.. hii ni kwasababu njia imeshatengenezwa na wengine ndio maana tunaweza kuona mengine.
 
😅
Wewe ndo wale wapiga chabo..😜
 
Back
Top Bottom