Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Spika wa Bunge Anne Makinda (kulia), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk Mary Nagu (kushoto) na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid baada ya kufunga semina...
katika mambo ambayo mwalimu Nyerere alipata sifa zaidi wakati wa uongozi wake ni kuwa na serikali inayowajali wananchi kwa vitendo. Jionee maghala ya chakula yaliyopo Iringa,kwa sasa ni...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Amani Abeid Karume (kushoto) akisalimiana na Makamu wa Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Pius Msekwa wakati wa uzinduzi wa...