Kama ndio wewe ungefanyaje?

Kama ndio wewe ungefanyaje?

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
3,988
Reaction score
1,310
Kama ni wewe ungefanyaje????????
 
Attachments

  • white baby.jpeg
    white baby.jpeg
    35 KB · Views: 835
Mtoto hana hatia..., Ningechukua mtoto, na kumsaidia kwali hali na mali
 
Akija kuwa mkubwa atamshika mama yake anamtaka baba yake...........
Hakuna neno tamruhusu kwenda kwa baba yake lakini kwenye malezi takuwa nime-play part yangu zitakuwa Baba (biological) lakini takuwa mlezi (nina uhakika hata mtoto ata-appreciate) kuliko ningemkataa nani angemlea?
 
mweeeeeee!!
raha 2pu..watoto rang nyngiiiiiiiiiiiiii...............!!!!!!!!!!!
 
Hakuna neno tamruhusu kwenda kwa baba yake lakini kwenye malezi takuwa nime-play part yangu zitakuwa Baba (biological) lakini takuwa mlezi (nina uhakika hata mtoto ata-appreciate) kuliko ningemkataa nani angemlea?

u mwenye busara.
 
Any man can be a father but not all man can be good father and I am one of good fathers na wewe ni mmoja wao kutokana na mchango wako.
 
Back
Top Bottom