Picha ya Mbowe walipokutana na JK: Je unajifunza nini kwenye picha hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha ya Mbowe walipokutana na JK: Je unajifunza nini kwenye picha hii?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kakalende, Feb 2, 2011.

 1. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Wanasiasa siku zote hawatabiriki!
   

  Attached Files:

 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  nani alikwambia siasa ni kutosalimiana na mpinzani wako?..........

  think beyond the next meal man!!
   
 3. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  This is to all bored middled-aged losers who think politics is a way of life like THAT..lol its just a game.
   
 4. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 135
 5. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mbowe anaonyesha anavyomkubali Rais wake, lmao.
   
 6. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
 7. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Only in Tanzania, reasoning .....
   
 8. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwa tafsiri ya lugha ya picha:

  JK: Mbowe naona umeamua kunikubali kuwa mie ndio JK mkuu wa mafisadi na kiongozi wa wachakachuaji kwani japo mlijipanga na mkashinda ila mie bado ni raisi wenu, Utu uzima dawa.

  Mbowe: No hizi jezi nimekuja nazo kukiufikishia ujumbe kuwa wameanza tunisia,imefuata misri then walipe dowans ufuate wewe? Kama kweli mtu mzima hatishiwi nyau.
   
 9. N

  Nonda JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  wakuu,
  Nilitegemea mutamkemea Mbowe kwa nini anacheka cheka na Kikwete kwa vile polisi iliuwa Arusha.
  Nilitegemea mutakuwa wakali kumuona kamanda anacheka na mchakachuaji wa kura.
  Sasa naelewa maneno ya Kikwete aliyosema Mbowe na Wabunge wa CHADEMA walipotoka nje wakati Kikwete alipoanza kuhutubia bunge... alisema "Watarudi"

  Na sisi soma comments tunazotoa tunafanya comedy..... JF bana!!!
   
 10. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 11. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  Kupingana si kugombana, mkikuwa mtayaona. Mwataka wasisalimiane?
   
 12. S

  Seacliff Senior Member

  #12
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Hakuna cha kujifunza kwa yeyote ambaye anafahamu siasa. These are leaders of their respective parties. In any democracy their hand-shaking should not raise any issues, as meeting is part of their responsibilities to those who elected them.
   
 13. K

  Kakulwa Senior Member

  #13
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Wewe unadhani wanaongelea nini hapo?
   
 14. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,832
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  We unataka tujifunze nini?
   
 15. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Seacliff,

  Mbona unajicontradict..kama unasema hakuna cha kujifuna na baadae unaendelea kwa kusema "yeyote ambaye anafahamu siasa".Then kuna kitu cha kujifunza.Jifunze jinsi ya kujielezea wewe.
   
 16. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kuwa pamaja na kuwa wapinzani pia ni watu wanaoweza kucheka na kusalimiana pamoja
   
 17. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kama sikosei hii ilikuwa ni mwaka 2005 baada ya uchaguzi uliomtangaza jk kuwa mshindi wa nafasi ya urais. Kwa ujumla, Chadema waliridhika na kuridhia matokeo na hapo kwenye picha inaonekana Kamanda Freeman Mbowe
  akimpongeza jk bila kinyongo. Sasa kutokana na picha na maelezo haya, tunaweza kujifunza kwamba uchaguzi wa 2005 ulikuwa huru na wa haki na chadema waliridhika nao. Sasa basi, kama chadema ni chama kilekile na Mbowe, Dr. Slaa (PhD) na viongozi wengine ni walewale, kwa nini leo hii wasishikane mikono na jk? Ukweli ni kwamba uchaguzi wa mwaka huu haukuwa wa huru na wa haki.

  Pia, picha hii inaonyesha umakini wa chadema katika kuendesha siasa za nchi hii na ni chama chenye msimamo thabiti wa kusimamia maamuzi yake. Hakina substandards katika kufanya mambo yake. Hongera viongozi wa chadema, wananchi tuna imani nanyi.
   
 18. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Quadrat Jr,

  Nataka ujifunze ya kuwa Viongozi wa siasa wanapokuwa wanaongea na wafuasi au wanachama wao kuna kipindi huwa wanaonyesha wana hasira sana na wapinzani wao..ila wanapokutana mara nyingine picha inakuwa tofauti kabisaaa kama unayoona mwenewe kwenye picha hio.
   
 19. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mods nao naona wanaleta mambo ya censorship.. This is an issue of political significance albeit minor. THread imeletwa huku ili watu wasionie.. NDIO JF-CHADEMA hii... tukiwapa nchi mta tufanyia censorship. This is why I hate F@kn radicals... They all end up like Mubarak.
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Amna cha kujifunza awa jamaa ni washikaji wa siku nyingi wanajuana, wemecheza pamoja madisco ya zamani ya Dar es salaam RUNGWE na MBOWE
   
Loading...