Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
si wanajifanya hawajui mwisho wa ubaya.we waangalie tu ivo ivo tunasubiri zamu yao mpaka misri wakamilishe ndo tufuatie.siku ccm inapigwa mweleka na wapigakura.............................basi kila mmoja atachanja mbuga.........................na hakuna kuagana kama kanu ya kenya..................................