Karibuni kwetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibuni kwetu

Discussion in 'Jamii Photos' started by Utingo, Feb 3, 2011.

 1. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  pimw.jpg
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
 3. c

  chelenje JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo ni Mwanza, nyumbani kwetu...!!
   
 4. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  I wish miji yote ingekuwa misafi namna hii!!!
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mkuu itabidi ufanye ka-vekesheni Rocky City. Hapo ni Mwanza hilo jengo ni NCU-Nyanza Coop. Union
   
 6. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Yeah !Moshi town safi sana,Utingo ubarikiwe kwa kuweka picha nzuri
  [​IMG]
   
 7. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli rock city pazuri!!
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Hapo mkuu hapana ni Mwanza napita nkienda home!
   
 9. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,641
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  ma zoo imependeza sana aisee... i miss that place
   
 10. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Oooh, Umenikumbusha nyumbani aisee, that is Mwanza.
  Hicho kijengo chenye paa jekundu ni petrol station ya Kada wa CCM, Ambaye alijenga petrol station maeneo ya furahisha (furahisha iko umbali kidogo kutoka apo kwenye round about, kwenye direction inakoelekea hiyo zima moto) ambayo ilibomolewa kwa zengwe kubwa sana kutoka na maslahi ya kisiasa baina yake ya injinia wa mkoa wakati huo (sasa ni mbunge wa buchoa kupitia CCM).

  Sikuwahi kujua exactly what had gone wrong between those two, mwenye data anaweza akashare experience please.Ila cha msingi ni kwamba kada/Mhindi huyo alifinance kampeni za Ben katika kampeni zilizo mrudisha marakani for the second term kwa kujaza magari ya ccm mafuta.

  Ukiinua macho juu kidooogo, upande wa kushoto wa hiyo petro station hicho kighorofa cheupe ndio kuna Office za IMMMA Advocates, ni kijengo ama chake ama cha baba yake na brother men Masha aka failure.

  Ukiangalia hiyo barabara iliyonyooka, mbele kule upande wa kushoto hilo jengo unaloliona mara ya mwisho mimi kuliona ujenzi wake ulikuwa umesisimama, sijui kama unaendelea, ni jengo la Mramba, ujenzi ulisamama ghafla baada ya kesi yake kuanza mahakamani.

  Na hapa mwanzo wa Picha, hicho ki pick up kinaingia kwenye Jengo la CCM Mkoa wa Mwanza,hapo ndo mbinu zote za kuwafukarisha wakazi wa mwanza huzaliwa na kubarikiwa.

  I love you Mwanza,
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mkuu hiyo ni Mwanza City si Moshi town, kulia unaona hiyo si KNCU bali NCU-Nyanza Coop Union building. Siku hizi Rocky City iko clean sana kama Moshi T vile.
   
 12. d

  damn JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
 13. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mwanza! Moshi!:twitch:
   
 14. olele

  olele JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  unaona? kwa nini watu wanabishana kuwa ni mwanza au moshi?? na si moro na dar su kwingine kokote, kuna kitu kinachofanya mwanza na moshi vifanane bila shaka.
   
 15. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Dah! Bugando nimeiona kwa mbaaaaali dah what a memory.....
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Panavutia.....nice photo....issue ni je, wanaoishi hapo wanapata mahi kama hayo majani? Na sukari wananunua bei gani kama wana afford in the first place!
   
 17. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nice town for real..... It looks like KIGALI.....
   
 18. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,375
  Likes Received: 3,209
  Trophy Points: 280
  Hapa mnamuumiza Masha bure
   
 19. upele

  upele JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani sato tu nawamiss
  Conquest-no place for hopeless siners:clap2:
   
Loading...