Asilli yetu kabla ya utandawazi..

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
index.jpg

39960-Deutsch-Ost-Afrika.jpg

Wakoloni walitukuta hivi na ilikuwa kawaida kabisa kutembea utupu...iweje leo tuwapigie kelele dada zetu wakijiachia na vimini au bikini au ndo kusema dini tuliyoletewa imetubadilisha sana na kuona asili yetu haifai??
 
Swadakta,niliwahi kuuliza tu nani anayesema utamaduni wetu ni kuvaa ushungi na vilemba.....?Hapo sijagusia swala la kuwalazimisha dada zetu wajifunike mpaka unyayo kama wasomali na joto tulilonalo............
 
mmmmm wala siombei turudi huko. Leornard na wewe paka mweusi mnataka kubaka???
Enzi zile naamini mababu zetu walikuwa hawana tamaa, na walikuwa wameshajizoelea kukaa utupu.
 
Hiyo acha iitwe zamani tu, na ibaki kuwa zamani.
Nyakati hizi hata katoto ka miaka mitatu huthubutu kukaacha bila kukavalisha chupi,
Unaona aibu wewe mwenyewe, mbaya zaidi na hawa viumbe binadamu wa kiume daaaa!!

Eti wanabaka katoto ka miaka mitatu, mbaya zaidi hadi watoto wakiume wanabakwa.
 
Mwanadamu ni mnyama aliyepewa uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo.kwa kuzingatia ukweli huo ameweza kupitia mabadiliko kadhaa na kufanya ugunduzi unaomzidiishia ustaarabu wa kuishi tofauti na wanyama wengine ikiwamo hilo la kuvaa nguo. hivyo hizo asili ni kwa kuwa ugunduzi ulikuwa bado..you can see some of them have tried to hide their genetical parts by some pieces of clothes or whatever
 
mmmmm wala siombei turudi huko. Leornard na wewe paka mweusi mnataka kubaka???
Enzi zile naamini mababu zetu walikuwa hawana tamaa, na walikuwa wameshajizoelea kukaa utupu.

Baba hujasoma jina langu vizuri,naitwa Mtakatifu Paka Mweusi.
 
Kama ni kabla ya utandawazi hizo picha zilipigwa vipi? Je tulikuwa na teknolojia hiyo? Au zimechorwa? Kwa taarifa yako utandawazi ulianza muda mrefu na umekuwa na phases tatu mpaka sasa - phase I Arabs and explorers (early contacts); phase II colonialism na ya III neo colonialism!!!!!!!!!!
 
Wakoloni walitukuta hivi na ilikuwa kawaida kabisa kutembea utupu...iweje leo tuwapigie kelele dada zetu wakijiachia na vimini au bikini au ndo kusema dini tuliyoletewa imetubadilisha sana na kuona asili yetu haifai??

Unataka kurudi kuishi hivyo ? Ukoloni pia umeleta faida yake sasa tuna nguo nyingi hatuishi kama wanyama pori.
 
Eeeeeh Mungu wangu, "Alfu Moja na Mia Mbili" nje nje! Kumbe kama mkizoea kutembea vikalio nje tamaa inapungua, kujificha ficha mwingine anataka kujua umeficha nini!!
 
Remember for adults, all their bottoms are covered, but young kids are at liberty to live Adam and Eve way.....it is sign of innocence, covering is a sign of guilt from some sin. The top especially for unmarried girls was a public domain and it was not unusual until whites came and told us we must cover the tops, and we followed blindly....haya hii kuiga in the name of modernity sijui itatufikisha wapi sisi Waafrika. Maana chochote cha mzungu is relatively good, and those traditions of our foreparents are deemed primitive and n
barbaric...not not every was in fact barbaric
 
Back
Top Bottom