CCM na CUF mbona wanawatenga Chadema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM na CUF mbona wanawatenga Chadema?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Feb 4, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,177
  Likes Received: 417,601
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Spika wa Bunge Anne Makinda (kulia), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk Mary Nagu (kushoto) na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid baada ya kufunga semina ya Wabunge kwenye ukumbi wa hoteli ya Pearl Ubungo Plaza Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,177
  Likes Received: 417,601
  Trophy Points: 280
  Chadema ndiyo viongozi wa upinzani Bungeni lakini CCM inaonekana ingelipendelea CCM-B ambao ni CUF waendelee kuwalinda Bungeni...............Mwenye macho haambiwi tazama..............................na mwenye masikio haambiwi sikia.....................
   
 3. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hatudanganyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiki.
   
Loading...