Hamad Rashid na Waziri Mkuu Kulikoni???????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamad Rashid na Waziri Mkuu Kulikoni????????

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mtu wa Pwani, Feb 4, 2011.

 1. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  hamad rashid1.jpg

  wanazungumzia nn, au ndio ile mipango ya kuibana Chadema bungeni?


  hamad rashid.JPG

  naona hapa anamkumbusha zaidi kuhusu bwana mdogo wa Mbowe?
   
 2. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  huyo kashageuzwa vuvuzela na ccm.
   
 3. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  sasa unataka kutwambia kuwa anapewa cha kwenda kusema kwenye media?

  yaani anachukua maelekezo kwa bosi wake?
   
 4. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hapo anaambiwa baada ya kufanikiwa kutusambaratishia cuf sasa tunakukabidhi na chadema.halafu ye anamjibu wale inabidi zitumike mbinu za kiintelijensia vinginevyo wajanja sana wale.
   
 5. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mmmh hiyo suruali ya Pinda imekaa vipi kwenye picha ya kwanza.
   
 6. N

  Nonda JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu, Mtu wa Pwani,
  Unataka ufurahi kwa kuona wachadema wanafyatua makombora?
  Subiri kidogo tu, utasikia mshindo mkuu!!Watashuka kwa hasira hapa...tafuta bisi zako na coke yako, uangalie sinema.....
   
Loading...