Napenda kuongelea na kuchambua mambo ya siasa lakini si mfuasi wa siasa, maana ukiamua kuingia kwenye siasa unatakiwa uwe kama wale vijana wa unga uwe stimulated na kitu fulani, la sivyo...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, abaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA, DkT. Ali Mohamed Shein, akimtunuku shahada ya uzamivu ya heshima ya chuo kikuu cha Taifa SUZA...
Kwa wale ambao hamjawahi fika moshi mjini huu ndo mji wenu ulioko ndani ya nchi yetu.oneni na muige usafi na mandhari yake.
Lazima wachaga wajivunie maendeleo yao na ustaarabu ulioachwa na wazungu
Leo nimemkuta huyu Ndugu akiwa amestarehe chini ya daraja la Mkapa, ambapo anadai ni makazi yake, na nilipoangazaangaza niliona blanketi kwa pembeni.
Alikuwa hana wasiwasi, huku akipata chakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.