binadamu tupendane mwaka huu.(picha inatisha Maiti iliyochomwa Moto)

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
chani%2Bakiwa%2Bameunguzwa%2Bvibaya%2Bkwa%2Bmoto%2Bndani%2Bya%2Bnyumba%2Byake%2Bkiasi%2Bcha%2Bkutotambulika_%2Btukio%2Blilitokea%2Busiku%2Boctoba%2Bmosi%2Bmwaka%2Bhuu_%2BPicha%2Bna%2BBazil%2BMakungu.JPG

Mia
 
Sasa Mkuu, kama picha inatisha, umeweka ya nini?

Looh, binadamu ni kama "hooligan" fulani hivi!!! Inasikitisha sana. Huyu jamaa aliyefanywa ndafu ni kibaka au....?
 
nakumbuka ni mchawi alichomwa moto ila sikumbuki ni wapi, dada yk alilia kweli akisema alimkanya sn kaka yake aache ushirikina akakataa.
 
Mkuu, huyu mleta thread ameweka condition kuwa, ''usifungue picha inatisha''. So kwanini upakue chakula mezani kisha utangaze kuwa, ''this food is unfit for human consumption''. Why?
TAHADHARI kwa wenye presha na magonjwa ya moyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom