Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Nope...Mbezi Tanki Bovu hapoKwa jamaa gani? Hiyo kama siyo Arusha ni Kampala.
Kwa jamaa gani? Hiyo kama siyo Arusha ni Kampala.
Nope...Mbezi Tanki Bovu hapo
hili nalo nenoKwa hiyo kupanda pikipiki ni umaskini?
![]()
Duh kumbe hata hawa jamaa nao choka mbaya....
Nope...Mbezi Tanki Bovu hapo
Kwa jamaa gani? Hiyo kama siyo Arusha ni Kampala.
Mkuu you said it all! Heshima kwako!Huyo jamaa mbona anaonekana yuko fresh tu?! Sioni kuchoka hapo. Tatizo ni kwamba aliyeleta hii picha anaamini kuwa watu weupe wanatakiwa kuwa ndani ya kiyoyozi tu.
Jifunzeni kwamba watu weupe wapo wa madaraja mbalimbali kama watanzania.
Vilevile kupanda pikipiki sio kipimo cha hali ya uchumi.