Man U-Bonge la Nyanda Hili Hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Man U-Bonge la Nyanda Hili Hapa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Amavubi, Jan 1, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,764
  Trophy Points: 280
  Dah

  Watani naona Old Traford imekuwa kapu la magoli 2011
  37417_136337733045301_100000072267333_368155_1365248_n.jpg
  Nadhani chanzo ni nyanda wenu, kwa kuwa dirisha dogo limefunguliwa mjaribuni HUYU
   
 2. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Haswaaa huyu nyanda kwa muonekano ana uwezo kabisa wa kuchukua nafasi ya De-Gea: mechi 2 magoli 9 tena kwenye uwanja wa Nyumbani!!!!!, De-Gea hafai kuwa kipa wa Man U kwa sasa.
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Yes Man U huu utakuwa usajili wa karne.
   
 4. N

  Nico jonas Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halafu hahitaji malipo,anadaka bure yeye anachotaka ni kupiga mambo(bia)tu... Kwi kwi kwi k kwi kwi kwi kwiiiii...
   
 5. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mmmhhhh!!!! atakuwa kipa ama pazia
   
Loading...