Halima Mchuka: Mungu akulaze mahali pema peponi

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,858
Reaction score
63,432

Rais Jakaya Kikwete , akijumuika na baadhi ya waombolezaji kuuombea mwili wa marehemu Halima Mchuka katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mtangazaji huyo, kabla ya kwenda kuzikwa makaburi ya Msasani baada ya Sala ya Ijumaa.

Rais Jakaya kikwete akiwapa pole wafiwa, ndugu na jamaa waliohudhuria dua iliyofanyika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo.

Picha ya marehemu Halima Mchuka enzi za uhai wake ikiwa juu ya Jeneza wakati wa dua.
mchuka.jpg
Mia
​
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi lkn kwanini KIKWETE ALIKUA ANATABASAMU SANA INAMANA HAWEZI KUONYESHA HUZUNI HATA KIDOGO KWENYE MAZISHI? amenikera sana hlf tbc wamemwochesha alivyokua anachelelea sijui lengo lao ni nini?
 
Samahani wakuu naomba kuuliza eti kiharusi ni ugonjwa gani na unaathiri maeneo gani ya mwili?
 
Kiarusi ndiyo 'stroke' kwa Kiingereza (kupooza sehemu fulani ya mwili kwa ghafla). Nenda kagoogle kwa maelezo ya kidaktari
 
waandishi wa habari mnakufa sana, muwe makini jamani, ukimwi upo...sisemi kama huyu kafa na ukimwi, ila waandishi wengi wa habari mnakulana sana huko kwenye process za kuchukua habari na night za kuendesha vipindi..mtakufa mtaisha...wengi mnajidai na kiburi chenu cha certificate au diploma kupandisha mabega, lakini mnachakachuana sana,...ninyi kwa ninyi huko kwenye night za vipindi...hakuna asiyejua hilo...mtatuachia nchi...Poleni wafiwa, Bwana ametoa Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe...
 
Ww hutakufa? kwani kinachoua ni ukimwi tu? Hoja dhaifu sana hii!
 
sasa kama humaanishi ni huyu marehemu halima
kafa kwa ukimwi kulikuwa na haja gani ya kuandika maneno hayo yako??!!!!!!!

waandishi wa habari mnakufa sana, muwe makini jamani, ukimwi upo...sisemi kama huyu kafa na ukimwi, ila waandishi wengi wa habari mnakulana sana huko kwenye process za kuchukua habari na night za kuendesha vipindi..mtakufa mtaisha...wengi mnajidai na kiburi chenu cha certificate au diploma kupandisha mabega, lakini mnachakachuana sana,...ninyi kwa ninyi huko kwenye night za vipindi...hakuna asiyejua hilo...mtatuachia nchi...Poleni wafiwa, Bwana ametoa Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe...
 
sasa kama humaanishi ni huyu marehemu halima
kafa kwa ukimwi kulikuwa na haja gani ya kuandika maneno hayo yako??!!!!!!!

mi watu kama hawa nawaangaliaga tu halafu nafungua page nyingine.
 
Wendawazimu wamekuwa wengi sana nchi hii kwasababu ya dhiki; ndio maana wanaandika mambo yasiyo na kichwa wala mkia!!
 
Rais Jakaya Kikwete , akijumuika na baadhi ya waombolezaji kuuombea mwili wa marehemu Halima Mchuka katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mtangazaji huyo, kabla ya kwenda kuzikwa makaburi ya Msasani baada ya Sala ya Ijumaa.

Rais Jakaya kikwete akiwapa pole wafiwa, ndugu na jamaa waliohudhuria dua iliyofanyika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo.

Picha ya marehemu Halima Mchuka enzi za uhai wake ikiwa juu ya Jeneza wakati wa dua.
mchuka.jpg
Mia
​

may ur soul rest in peace dada halima.
tulikupenda lakini mungu alikupenda zaidi yetu.
 
sasa kama humaanishi ni huyu marehemu halima
kafa kwa ukimwi kulikuwa na haja gani ya kuandika maneno hayo yako??!!!!!!!

Its a free forum na inawezekana mtoa mada ana ushahidi na alichokizungumza hivyo kaamua kuwaasa anaowajua japo si huyu marehemu hivyo si vyema kumshambulia,anyway RIP Halima Mchuka.
 
Back
Top Bottom