Ombeni Yohana Sefue ala kiapo

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890

Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha rasmi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiingia katika ukumbi wakati wa hafla fupi ya kumuapisha Katibu Mkuu Kiongozi mpya,


Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Katibu Mkuu Kiongozi mpya, Balozi Ombeni Yohana Sefue, wakipiga picha ya pamoja baada ya hafla ya kuapishwa rasmi kwa katibu huyo leo Ikulu Dar es Salaam.

Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Katibu Mkuu Kiongozi mpya, Balozi Ombeni Yohana Sefue na Balozi Kiongozi Mstaafu, Phillemon Luhanjo,

Rais Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu Kiongozi mpya, Balozi Ombeni Yohana Sefue,

Katibu Mkuu Kiongozi mpya, Balozi Ombeni Yohana Sefue (kushoto) akifurahia jambo na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Phillemon Luhanjo. Mia
 
Hilo pozi la "mtoto wa mkulima" kwenye picha ya tatu kiboko!
 
Hiyo picha aliyepiga na yule anayemwachia ofisi utadhani Luhanjo anasema: "Ugangamale be!!!"

Born on August 26, 1954, in Same District, Tanzania, Ambassador Sefue studied Public Policy and Administration at what is today Mzumbe University, and later earned an M.A. (with distinction) in the same field at the Institute of Social Studies (ISS) at The Hague, The Netherlands, in 1981.He also holds a Post-Graduate Diploma in International Relations and Diplomacy from the Tanzania-Mozambique Center for Foreign Relations in Dar es Salaam, Tanzania.

He has certificates in International Negotiations, and in Economic and Social Problems of Developing Countries.

He and his wife, Anita, have two children.a daughter (1989) and a son (1990)

Usilete ya akina Msuya kujipendelea umeme mpaka mashambani!!!​
 
Amezaliwa mwaka 1954! Kwahiyo na yeye hatakuwa na zaidi ya miaka mitatu atakuwa mstaafu.
 
Sanaa na wasanii! Sasa hii ni utekelezaji wa maoni ya kamati/tume ama? Wonders of Tz, hujui kustaafu ukiwa katibu mkuu kiongozi pensheni inakuwa nono?
 
aisee ile suti vipi naona balozi kawashinda mabosi wake kwani Jk na Pinda kama wameshonesha Kariakoo vile halafu bw mdogo naona ana mafuta anameremeta
 
Picha ya nne caption inasema "Balozi Kiongozi Mstaafu" badala ya "Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu"?
 
Hongera sana,lakini watanzania tunatarajia utumishi uliotukuka kutoka kwako!
 
Back
Top Bottom