Juzi nimeletewa mzigo wa senene kutoka nyumbani, senene watamu sana na wana heshima kubwa sana kwa kabila letu. Nimekumbuka enzi zile nipo Kagera nilikuwa naenda kuwakamata kwa ajili ya kitoweo...
Ni mwanadada Milo Moire, kutoka nchini Uswisi,alizaliwa mwaka 1983,alihitimu shahada ya uchoraji na upakaji rangi mwaka 2002,pia amehitimu shahada ya Saikolojia kutoka Chuo kikuu cha Bern,huyu ni...
Lengo la uzi huu ni kupeana changamoto na mikoa mingine ili muwe na hasira ya ku hustle zaidi.
Oneni maendeleo ya makazi ya Kilimanjaro sio kwamba ni serikali imefanya! Ni nguvu za watu,ndio mana...
Wana jamvi tafadhalini tuitazame na kuisikiliza hii video kwa umakini maana ina ujumbe muhimu wa kutibu vidonda vyetu.
Mimi Mmawia nawatakieni sherehe njema za noeli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.