Unakumbuka Jolly jus enzi hizo?

Unakumbuka Jolly jus enzi hizo?

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,859
Reaction score
3,024
Unakumbuka wapi na mwaka gani kwa picha hii. Weka picha ya zamani na useme unakunbuka nini.
FB_IMG_1579980817338.jpeg


GOD is GOOD
 
Ila umaskini bana ulaaniwe. Eti kwetu hadi hivyo vijuisi vilikuwa vya anasa kukabahatisha hadi uwe unaumwa na uwe na dozi ya quinine au croloquine(sijui nimepatia kuiandika) na masikio yawe yameziba au mwili wote unawasha.

By the way hivi aliegundua hizi dawa mbili kweli ataiona pepo? Hivi hakuwa na roho chungu kama dawa zake?
 
Zamani sana
images%20(2).jpeg
035c1ccab5577815e130322caf04c1c0.jpeg


Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Hahaha enzi hizo babake tupo machalii bado hatujiwezi kumudu soda ya 250
 
Back
Top Bottom