Maneno wasiyopenda kuyasikia CCM

Kama ukitaka kumtega panya wewe mtegeshee kitoweo tu, mbona anaingia mtegoni mzima mzima. Ndivyo navyo ambayo Mheshimiwa hupenda kusifiwa na kuabudiwa kana kwa fuko la taifa la hazina ni mali yake binafsi na baraka za kutaka kufanya matumizi ya fedha hizo ni kwa kumnyenyekea yeye tu.
 
Watu wa Kigoma wanataka maendeleo, na rais John Pombe Magufuli amewaletea maendeleo ndio maana wanakupenda - Zitto Kabwe ✔✅✔✅🥂🍹
 
Watu wa Kigoma wanataka maendeleo, na rais John Pombe Magufuli amewaletea maendeleo ndio maana wanakupenda - Zitto Kabwe
Kweli maisha yanaenda kasi sana Sikuhizi kuweka taa za barabarani nayo ni sera ambayo chama fulani kinajivunia na kutembea kifua mbele Watu hawana AJIRA, mzunguko wa pesa umekua mgumu, Pembejeo na Masoko kwenye kilimo ndio balaa. Alafu mtu na phd yake anahubiri taa za barabarani bila aibu.
 
Kikwete selema 💃💃💃💃
 
Back
Top Bottom