thebosskissima
Member
- May 22, 2017
- 65
- 299
Nipe sifa moja ya Jamaa waliokuwa na Nywele za hivi Shuleni.
Ikitokea kesi nyumbani Hawa ndo wakwanza kuwa wahanga..🤣 wizi wa mboga,kuacha kuoga, kupiga wengine, kuchoma nyumba!,kutiana machakani na vidada🤣🤣Nipe sifa moja ya Jamaa waliokuwa na Nywele za hivi Shuleni. View attachment 1658754