Video yenye salaam muhimu kwa watanzania

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
98,164
2,000
Wana jamvi tafadhalini tuitazame na kuisikiliza hii video kwa umakini maana ina ujumbe muhimu wa kutibu vidonda vyetu.

Mimi Mmawia nawatakieni sherehe njema za noeli.
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,388
2,000
Wafikishie huu ujumbe hapo Ufipa waambie siasa siyo uadui!

CCM hailipi ubaya kwa ubaya ndio maana mawaziri 6 wametokea Chadema asilia!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom