Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,443
- 7,979
Ila mtu pekee asiyemuogopa huyu jamaa ni FUNDI CHEREHANI WAKE
Wewe ni fundi?Unajuaje kama Fundi cherehani wake kaelekezwa ashone hivyo hzo nguo?
Na unaweza kumuelekeza asifanye tofautiWewe ni fundi?
Ivi unajua ya kwamba unaweza kumuelekeza kitu fundi lakini akafanya tofauti?
Na anaweza Fanya tofauti bila kumuelekeza!Na unaweza kumuelekeza asifanye tofauti
So unasema ameshatangulia mbele ya hakiMuacheni apumzike kwa amani
Acha kumchulia mfalme!Muacheni apumzike kwa amani
Kwani nani amebishaa?Hiyo si fasheni tu mkuu labda kama mtoto wa juzi juzi hapa
Na anaweza kufanya maelekezo bila tofautiNa anaweza Fanya tofauti bila kumuelekeza
Sory mkuu kwani huyo ni nani sisi wengine tunaishi dunia ya pili huku ibinu mionoIla mtu pekee asiyemuogopa huyu jamaa ni FUNDI CHEREHANI WAKEView attachment 1649396
Na akikosea kombora linamuhusuUnajuaje kama Fundi cherehani wake kaelekezwa ashone hivyo hizo nguo?