vijana wengi wanapenda kuchagua kazi uku wakiwa hawana kazi,na kuona aibu kufanya kazi kama hizi,wakat wengine zinawaingizia kipato na kuwezesha kujikimu wao na familia zao,pia kufanya kazi kama...
Wadau,
Angalieni hii picha na kusoma kwa makini hayo maneno yaliyoko kwenye jiwe hilo. Sina hakika ndiyo cheo kipya cha bwana Nape baada ya uchaguzi ndani ya SISIEMU?
Katibu wa NEC, Itikadi na...