Binti Magufuli JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 7,479 Reaction score 5,161 Nov 23, 2012 #2 hahahahaha bofloooooooooo upo weye???na mie nataka pweza basi
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,784 Nov 23, 2012 #3 Boflo ... umeanza kuandika mashairi siku hizi!!!! .... Duh! ama kweli Pweza hatari!! ...
A adolay JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 12,102 Reaction score 14,499 Nov 23, 2012 #4 Boflo Umenikumbusha kipindi cha ushairi, malenga wetu RTD enzi hizo. Lugha itumikayo katika ushairi na malenga ni Tafsida kwa kwenda mbele hunipatia wakati mgumu sana kuielewa.
Boflo Umenikumbusha kipindi cha ushairi, malenga wetu RTD enzi hizo. Lugha itumikayo katika ushairi na malenga ni Tafsida kwa kwenda mbele hunipatia wakati mgumu sana kuielewa.
mjombo's JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 494 Reaction score 85 Nov 23, 2012 #5 wa2 na words art
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,572 Reaction score 18,001 Nov 23, 2012 #6 Dotworld said: Boflo ... umeanza kuandika mashairi siku hizi!!!! .... Duh! ama kweli Pweza hatari!! ... Click to expand... Mkuu upo?
Dotworld said: Boflo ... umeanza kuandika mashairi siku hizi!!!! .... Duh! ama kweli Pweza hatari!! ... Click to expand... Mkuu upo?
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,784 Nov 23, 2012 #7 Mshuza2 said: Mkuu upo? Click to expand... Nipo Mkuu ... namshangaa Boflo anavyobadilika na kuwa Malenga wetu wa JF Photo
Mshuza2 said: Mkuu upo? Click to expand... Nipo Mkuu ... namshangaa Boflo anavyobadilika na kuwa Malenga wetu wa JF Photo
Shomari JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 1,112 Reaction score 242 Nov 23, 2012 #8 Hhaahahahahahaa! Boflo uko fit kila nyanja. noma!
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 Nov 23, 2012 #9 Mrembo by Nature said: hahahahaha bofloooooooooo upo weye???na mie nataka pweza basi Click to expand... hawezagi.
Mrembo by Nature said: hahahahaha bofloooooooooo upo weye???na mie nataka pweza basi Click to expand... hawezagi.
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,986 Reaction score 168,510 Nov 24, 2012 #10 Boflo..... haya bwana pweza Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Nov 24, 2012 #11 Boflo, nilifikiri ni nyimbo yako mupya, maana tumeona bata, samaki, ngedere and so forth....... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Nov 24, 2012 #12 duh, sili tena huyu jamaa, mtamu mdomoni, mbaya machoni
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,831 Reaction score 637 Nov 24, 2012 #13 BOFLO.........................pweza huyuhuyu pweza kwi kwi kwi kweli una fani nyingi:cheer2:
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Nov 24, 2012 #14 napenda pweza
John locke JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 837 Reaction score 1,292 Nov 24, 2012 #15 dah! nimeimiss soup ya pweza.
Mkuu rombo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,556 Reaction score 423 Nov 24, 2012 #16 aiseeeeee babaangu nikipat supu yake huyo m2 atakimbia na chpi mkononi