He Just Don't Give A F*&K

UKI

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Messages
696
Points
0

UKI

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2012
696 0
Dah..! Hiyo mufuko ya visaflet mpaka ulaya ipo.

mkuu nisaidie kushangaa huwezi amini siku moja nilipata katrip huko nilipoingia super market nikaiona hiyo mifuko nilicheka na kushangaa sana ila wanasema inatokea nigeria sasa sijui kama ni kweli.
 

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Messages
1,395
Points
1,195

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2012
1,395 1,195
Hiyo mifuko nikiiangalia huwa nachefukwa, imefanya zao letu la mkonge lidode kule Tanga, Tanga, Tanga Kunani paleeeee!
Kila kitu kimekufa.
 

Forum statistics

Threads 1,392,971
Members 528,761
Posts 34,123,799
Top