uyu tumpigie kura kwenye maajabu ya duniani tukuze utalii nchini tz

ALLEX

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
2,014
1,225
hili ni tatizo la wakunga kuvuta saaaana watoto wakati wa procedure.....
 

Gogo la choo

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
712
195
Daahh..ngoja nimtumie Mzizi mkavu aje adadavue hapo hii kitu inasabishwa na nini..!!unaweza ukakimbia ukikutana nae huyu..
 
Top Bottom