Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira ambaye pia ni Mbunge Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Iringa Mjini...
Dada zangu Akina Mama zangu msiwatupe watoto kwa kuogopa Umasikini Mwenyeezi Mungu atawa ruzukuni musiogope Umasikini kwa kushindwa kuwalea watoto jamani.
Kama wewe ni mpenzi wa muvi, nitajie mojawapo ya muvi uliyoiona na kutokea kuipenda ambayo ameact among these brothers. Mostly genre yao ya muvi huwa ni comedies:
Hawa viumbe nyakati za usiku sehemu ya nyumba yako wakiwa wanalia sana ujue kuna ulakini usisite huenda kuna jambo Zito litakukabili utawasikia sauti. Vishindo nk. Mara maisha yako yana anza...