Je?Umeanza kuona kitu gani katika picha hii?

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
12,090
12,832
993f29c9-d33e-4b33-8c46-384e3700f174_560_420.jpg
 
Sura ya uso mzee wa kizungu ndan yake kuna

Binti alie nyoosha miguu mwenye nywele nyeupe kaisoma kitabu.

Nyele zake zimezuia muonekano mzur wa mizizi ya mti ulio tengeneza nyusi,kope za macho na macho.

Pembani ni swala alie jishoosha kwa kusimama kutengeneza mti na matawi kwa pembe zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom