donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Kama wewe ni mpenzi wa muvi, nitajie mojawapo ya muvi uliyoiona na kutokea kuipenda ambayo ameact among these brothers. Mostly genre yao ya muvi huwa ni comedies:
Hii naielewaga sanawhite chicks
Hii ndio Kali balaa, Damon Wayans Sr. Alikua anasakwa na US marshallsMost Wanted
Iko poaRed heat