Vumwe Vwa Vaathu

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
13240694_1517565054924574_1717819696053651225_n.png
 
Hii menyu si ya kitoto...nimekumbuka mbali sana, sehemu inaitwa kakola Tabora 80s. Na nikadhani hii style ni tabora tu. Sie tulikua tunashushia uji wa chumvi hii , wenzetu wanalalamika sukari
Ila nimesahau jina la hiyo kitu kama boga...hapa dar yanapatikana wapi wakuu
kweli hiimendo wake ni uji zaidi
 
ukiwa unakula namna hii nguvu za kuleta heshima nyumbani hazipungui na mke atakuheshimu
 
Back
Top Bottom