Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,870
- 34,357
Hawa viumbe nyakati za usiku sehemu ya nyumba yako wakiwa wanalia sana ujue kuna ulakini usisite huenda kuna jambo Zito litakukabili utawasikia sauti. Vishindo nk. Mara maisha yako yana anza kuporomoka jua kutakua na mvunjiko wa kipato. Muone leo MziziMkavu akupe njia