Wabongo tuweni wastaarabu

mkadiriajimajenzi

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
549
613
Mtu katafuna karanga za kuchemshwa kwenyebasi la kasi maganda kayatupa chini ya siti ..lol
1463941069108.jpg
 
Yeuwiiiiiii auwiiiiiiii yeueiiiiiiii auwiiiiiii, au nicheke jaman yeuwiiiiiii auwiiiii
 
Halafu ukute huyu huyo aliyetupa hayo maganda ya Karanga akipanda tena hilo basi anaweza kulalamika kua "Hili basi chafu sana aisee hawasafishi" Somo la house keeping ni muhimu sana, good housekeeping lead to safety.
 
Mtihani huu upo mpaka ughaibuni, wengine wanaingia na "vicontena" vya pilau,pepper soup, chips etc. Bus zima linanukia chakula
 
Kuna haja ya kufunga camera kwenye mabasi ili mkosaji kama huyu picha yake iwekwe hadharani na kama akipatikana basi achukuliwe hatua husika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom