Sura halisi ya marehemu Kinyambe

kizibo1

JF-Expert Member
May 14, 2015
1,187
766
f2c6867c027f42aa9dcc7348f69f6594.jpg
 
Sijawahi ona hii sura before zaidi ya kusikia mchekeshaji maarufu kandei... nilishikwa na butwaa kusikia maarufu na mimi simfahamu... ila wapenda ujinga ujinga wote wanamfahamu...
 
Sijawahi ona hii sura before zaidi ya kusikia mchekeshaji maarufu kandei... nilishikwa na butwaa kusikia maarufu na mimi simfahamu... ila wapenda ujinga ujinga wote wanamfahamu...
Acha kuita watu wajinga kwani wewe ni nani haswa?Watu wengine kwa kujikweza utafikiri wana chochote kumbe masikini kapuku...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom