hakuna jema sasa ndio maana unahangaika na dawa kibao kumbe sababu ni haya madawa ya kukuziaDuh, teknolojia za siku hizi bwana...mkorosho huu ni sawa na kuku wa kizungu...yaani miaka miwili tangu upandwe tayari unazaa, ni sawa na andunje...ndio maana mimi maembe na machungwa yanayozalishwa kwa namna hii huwa sili kabisa....