Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,850
- 34,301
Dada zangu Akina Mama zangu msiwatupe watoto kwa kuogopa Umasikini Mwenyeezi Mungu atawa ruzukuni musiogope Umasikini kwa kushindwa kuwalea watoto jamani.
awwwwwwwwwwwwwwwwwwww ninayo hii picha jamanii kumbaa safi sana big up mbwa ...View attachment 350425 View attachment 350426 View attachment 350427 View attachment 350428
Dada zangu Akina Mama zangu muasiwatupe watoto kwa kuogopa Umasikini Mwenyeezi Mungu atawa ruzukuni musiogope Umasikini kwa kushindwa kuwalea watoto jamani.
Duuu, hadi mbwa anaangalia kwa huruma; mmmh
speech less.