Ama Kweli Siasa Haina Rafiki wala Adui wa Kudumu

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
PICHA 1.JPG
Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira ambaye pia ni Mbunge Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Iringa Mjini, Mhe. Mchungaji Peter Simon Msigwa wakielekea Bungeni kwa ajili ya vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.
 
Kwani siasa ni uadui? Tunatofautiana mikakati ya kuijenga nchi yetu lakini hatutofautiani malengo.
 
Back
Top Bottom