Kutoka Katikati ya Dar

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
mvua.jpg
 
1464027123522.jpg

Mkuu naomba utujuze zaidi katikati ya Dar-es-salaam eneo lipi Gerezani,kariakoo,mchafukoge,kisutu,upanga,misheni kota,kota za bandari,Jangwani? tufahamishe ili wahusika wa Manispaa tuwajulishe
 
View attachment 350351
Mkuu naomba utujuze zaidi katikati ya Dar-es-salaam eneo lipi Gerezani,kariakoo,mchafukoge,kisutu,upanga,misheni kota,kota za bandari,Jangwani? tufahamishe ili wahusika wa Manispaa tuwajulishe
Pamoja na jitihada za Serikali kuhamasisha Wananchi kutoka katika maeneo Hatarishi Mabondeni, ambayo kwa kipindi cha mvua huathirika zaidi. Wananchi wa baadhi ya Maeneo ya Mabondeni, husuan eneo la Mto Msimbazi wamepatwa na adha kubwa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Dar es...
 
Hayo maeneo hatarishi ya Mabondeni mto Msimbazi hayapo katikatika ya Jiji na bahati nzuri wameambiwa wahame, kumbe wahusika wanaelewa tatizo nadhani itakuwa busara wahame kuliko kungoja mafuriko
 
Back
Top Bottom