Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Nimekaa nikiyatafakari baadhi ya maandiko ambayo niliyasoma mahali na kubaini mapungufu fulani yenye ka chembechembe ka upotoshaji. Kisha nikajiuliza swali je, nani atawajibika endapo mawazo...
0 Reactions
11 Replies
795 Views
FAHAMU KUHUSU HUMAN CLONING Neno "cloning" linamaana ya kwamba ni kile kitendo cha kutengeneza kiumbe kipya kupitia material ya kiumbe kingine ili kutafuta mfanano sawa katika mahabara•••...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
A globalist cabal comprising less than one thousandth of one percent of humanity has succeeded in injecting over 10 billion doses of a lethal poison into at least 4.84 billion people. It’s a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati wowote janga lolote baya linaweza kutokea na kutukumba hapa duniani,kila taifa na jamii itapambana kwa kadri iwezavyo. Najua akina sie huku hatutachukua muda tutapukutika kama pori...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Shambulio la 9/11, mwaka 2001, maarufu kama September ,11 attacks. Hili ndio shambulio la kigaidi liliouwa watu wengi kwa mara moja katika historia ya dunia ,watu 2,977 walikufa na zaidi ya...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
I have never questioned the faith of a person when it comes to someone’s religion. Your beliefs are your own. But when things like this pass you by, you have to start to think the validity of that...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Napenda niongee kifupi kuwasilisha hoja yangu iliyokaa kama swali. Nimekuwa nikisikia hasa waumini wa Kristo wakisema maneno kama Mungu nipiganie,Mungu amenipigania,Yesu amevishinda vita rohoni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni wazi kuwa imani imeanzishwa mahususi kuwa sera kuu ya kampeni inayofanywa na kikundi cha viumbe tusiowafahamu vizuri iwe kwa ubii, wajihi au maumbile zaidi ya kuamini mapokeo ya kile...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
EROTOMANIA. Hili Ni Tatizo La Kisaikolojia Ambapo Mtu Anakua Na Imani Kwamba Mtu Fulani Ananipenda Mfano Mimi Naamini Kabisa Kwamba Msichana/Mwanamke Fulani Ananipenda Wakati Sio Na Wala Hana Ata...
5 Reactions
28 Replies
6K Views
Habari zenu nyote, Bila shaka wote mmesikia, mmeona juhudi za binadamu katika harakati za kutafuta sayari nyingine tofauti na dunia ambayo ina hali kama dunia yetu, chombo cha Marekani kishafika...
2 Reactions
46 Replies
7K Views
JE UNAFAHAMU JINA HALISI LA JOSEPH KABILA ANAITWA "HYPOLITE KANAMBE KAZEMBEREMBE"? NA NI MTOTO WA KUFIKIA WA LAURENT DESIRE KABILA?. Na.Comred Mbwana Allyamtu Sunday -26/5/2019. Kyala Marangu...
7 Reactions
30 Replies
10K Views
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huku...
15 Reactions
411 Replies
79K Views
Tangu tumekuwa katika hii sayari tumekuwa tukifikiri Kuna hichi kitu "Freewill!". Ukweli mchungu ni huu,mazingira hayajatupa hiyo nafasi yakuwa na uhuru wa maamuzi ktk kila kitu ama kwa asilimia...
13 Reactions
24 Replies
3K Views
Ukiamua kutega bega ni juu yako na ukikataa kutega bega shauri yako. Kupanga ni kuchagua tusilazimishane kufa Na kuishi. Ni bora tugawane mbao. Tiba ya ugonjwa ni uamuzi wa mtu binafsi. Kuna watu...
27 Reactions
90 Replies
12K Views
Ni hivi, hakuna msomaji yoyote yule wa uzi huu ndani ya JF aliyepata furaha ya maisha kutokana ya yeye kuoa au kuolewa na hii inatokana na ukweli kwamba lengo lililojificha la ndoa ni...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Friday, 16 July 2010 08:31 Fidelis Butahe na Aziza Masoud wa Mwananchi MTOTO wa Profesa jwan Mwaikusa ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa nje ya nyumba yake, amesema hahusishi mauaji hayo...
1 Reactions
320 Replies
64K Views
PSYCHOLOGIST WARN: NEVER USE THESE 5 PHRASES WHEN TALKING TO YOUR CHILD It is a fact that no one is perfect and all people make mistakes. But, parents should be aware of the fact that in the eyes...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Siku za hivi karibuni wameibuka watu mbalimbali wanaoitwa inspirational speakers ambao hutoa mihadhara sehemu mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii.Sina ugomvi na watu hawa na ninaheshimu kazi...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu kwa mpigo. Ninafahamu kuwa wengi wetu tunafahamu maana ya neno IGNORANCE. Kama hamkumbuki basi maana yake kwa kimombo ni hii " Ignorance does not mean lack of knowledge but of...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Wasalaam. Dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua iliwezekanaje safina ambayo ina urefu wa futi 500 waweze kuingia wanyama wote hao? Tena na chakula chao? Naamini jukwaani hapa kuna wajuzi wengi...
7 Reactions
107 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…