Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Habari! Naomba nijadili na ninyi hili jambo ambalo limetutokea juzi Mimi na rafiki yangu. Miaka kadhaa iliyopita nimewahi kusimuliwa na jamaa mmoja ambaye scientific calculator yake ikiwa nyumbani...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Kiukweli leo nilikuwa nafatilia mtifuano ama mapigano yanayoendelea kati ISEAEL NA PALESTINA hasa nikifatilia uwezo halisi wa hii defence system ya Israel. Nimeshangaa baada ya kujua kwamba kumbe...
9 Reactions
82 Replies
11K Views
"Vultures fly", Tai wanaruka, kwa nini Tai wana ruka , hapa naangazia jinsi gani Tai wanavyoruka na kutua sehemu ulipo mzoga na kuruka na kile walichokiona kina thamani kwao. Tai hawa ni baadhi ya...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Wasalaam, Katika wale wote tunaofuata Iman ya Mungu mmoja ama mafundisho yanayofanana na kutofautiana katika sehemu chache Haswa katika dini kuu Uislam ,Ukristo na Uyahudi. Katika pande zote...
8 Reactions
104 Replies
12K Views
Ipo mijadala humu jukwaani kuhusu Atheism! Kwa bahati mbaya nimejaaribu kuifuatilia bila kufata maana halisi! Kwanza wachangiaji wanatumia kiingereza kigumu sana na wengi ni walewale. Ukweli ni...
0 Reactions
56 Replies
10K Views
Dola ya Rumi au unaweza kuiita Roman Empire ni moja ya falme nne zenye nguvu zilizo tokea kuitawala duniani kama ilivyo tabiriwa kutoka kwenye maandiko matakatifu. Soma kitabu cha (Danieli sura...
6 Reactions
103 Replies
13K Views
Hebu leo tulijadili hili kwa mapana yake Luciferianism na Satanism kwa kuwa wengi huwa tunachanganya tukidhani ni kitu kimoja lakini chenye majina tofauti, lakini kiukweli ni vitu viwili tofauti...
58 Reactions
390 Replies
72K Views
Kwa vizazi vyetu vya Siku hizi , imekua ni ngumu mno kufuatilia mambo ya ukoo /Mizimu, huku wengi tukiita ni mapepo wachafu ambao hatupaswi kuwa nao karibu kabisa. Na vitu hivi vimekua...
13 Reactions
97 Replies
29K Views
Watunzi wa biblia na vitabu vingine vya imani walijisahau na hawakujua kama Ubongo wa binadamu utakuja kuongezeka na kuanza kuhoji mambo kwa kina. Watunzi hawa wa Biblia hawakujua kabisa kama...
16 Reactions
112 Replies
10K Views
Cc Kiranga “Is God willing to prevent evil, but not able? Then he is not omnipotent. Is he able, but not willing? Then he is malevolent. Is he both able and willing? Then whence cometh evil...
2 Reactions
371 Replies
38K Views
Nje nakuamini nguvu fulani ya utendaji ktk nyanja ya utawaliwa, maisha ni halisi tena ni halisi ya uhalisia. Naandika kitu hichi lakini najua tuna makundi tofautitofauti kiufahamu, naamini sio...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Uislamu uko zaidi mashariki ya kati, uarabuni, mataifa yanayopakana na uarabuni, Afrika Kaskazini na Nusu ya Africa magharibi. Ukristo uko zaid Ulaya, Marekani ya Kusini na Kaskazini, Australia...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu Zangu nyote Habarini za Leo Someni Biblia Kwa Akili Ndugu zanguni, AChaneni na Dhana ya Mambo ya Kusubiri Roho ziwatafsirie. Dhana ambayo Bado Ni Potofu na Inayofunga Akili zenu zisitumike...
9 Reactions
361 Replies
20K Views
Tangu nilipoingia kwenye siasa, kimsingi nimeaminishwa maoni ya wanaume kwa faragha. Baadhi ya wanaume wakubwa nchini Marekani, katika uwanja wa biashara na utengenezaji, wanaogopa kitu. Wanajua...
7 Reactions
18 Replies
5K Views
Leviticus 19:4"Do not turn to idols or make metal gods for yourselves.Iam the Lord your God". Judges 10:14,"Go and cry out to the gods you have chosen,let them save you when you are in trouble"...
0 Reactions
2 Replies
821 Views
Kuna theories nyingi....moja ikiwa hii Mr Clean alipigana kwenye kamati mwenda zake kuingia ndani kutokana na historia yake na wale jamaa wa mipango. Mdau ananiuliza hapa...je kufuatana...
9 Reactions
41 Replies
5K Views
Mwaka 1859 mwanabaiolojia Charles Darwin alichapisha kitabu chake kuhusu chanzo cha viumbe wote duniani chenye jina “On the origin of species” Kilichoelezea theory yake ya evolution. Darwin...
6 Reactions
66 Replies
6K Views
Aisee wamarekani C watu wa mchezo mchezo, nimeingia katika WEB library ya Central intelligence Agency Nimekuta data ambazo hata Serikali ya TZ hawana, nimeona data mbalimbali kila aina...
13 Reactions
124 Replies
26K Views
1.Kwa nini wanaume wengi ndio huwa atheists kuliko wanawake? Atheists wanawake ni wachache sana na hakuna walio maarafu duniani. Ni nadra sana kukuta atheists wanawake kwenye jamii hasa ya Africa...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Basi kwa neema na baraka zake Mungu baba alie juu mbinguni mahali patakatifu ahimidiwe kwa busara na hekima zake kwa uhai aliotujalia na afya na anijalie niandike vyema ili kusudi langu lieleweke...
10 Reactions
76 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…