Mashaka juu ya uwezo wa air defence system ya Israel Iron Dome

ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
3,280
4,236
Kiukweli leo nilikuwa nafatilia mtifuano ama mapigano yanayoendelea kati ISEAEL NA PALESTINA hasa nikifatilia uwezo halisi wa hii defence system ya Israel.

Nimeshangaa baada ya kujua kwamba kumbe ile system ili itungue kombora moja lililotoka kwa Hamas inatakiwa kurusha makombora atleats kumi ndo inapata target na kulioua kombora moja la HAMAS.

Sasa kwa staili hii naona hili naona kabisa hii system sio effiency kabisa na inawagharimu mno Waisrael.

Kwa sababu kwa data zilizopo ni kwamba HAMAS wanatengeneza kombora lao moja kwa gharama ya Tsh ml 1.3 wakati Israel wanatengeneza kombora lao moja kwa gharama ya Tzsh ml 80.

Kwa gharama izo kombora moja la HAMAS lenye thamani ya tz sh 1.3 linaigharimu ISRAEL Tzsh ml 800 je kwa staili hii ni nani anapata hasara zaidi

Mi naona hii air defence system IRON DOME ya ISRAEL siyo effience na uwezo wake ni mdogo sana yaani kifupi vita hii inaigharimu zaidi israel kuliko Palestina.

Hii IRON DOME bado siyo system tegemezi na bora kwa maana siku isreal akipiga a vita na nchi nyingine yenye silaha za kisasa kabisa ama yenye rocket launcher system kubwa itashindwa kuzuia makombora ama izo missle zitakazorushwa maa haya makombora ya HAMAS yanayorushwa ni local madw sasa vil ka.a wakiwa na sophiscated rocket launcher means iron dome haiwezi kuzuia so mi Naona iron dome siyo system bora saana
 
Mzee
Siku gani tena Israel itapigana na nchi nyingine tofauti na hao Palestina.

Hizo nchi nyingine hazina hamu na Israel. Ushawahi kusikia vita ya siku 6.

Misri ilikuwa inajiandaa kwenda vitaninkuipiga Israel chaajabu wakati wapo uwanjani kupeana dondoo na kuagana kwenda kuipoga Israel, wakashtukia Israel wametia timu Misri na hapo hapo wanapoagana wakadhushiwa kichapo kwenye nchi yao kisha Israel wakatembea kurudi kwao.

Hizo weakness unazoziona wewe wenzio walishaziona kabla yako.
 
Kiukweli leo nilikuwa nafatikia mtifuano ama mapigano yanayoendelea kati ISEAEL NA PALESTINA hasa nikifatilia uwezo halisi wa hii defence system ya Israel...
Mkuu Hasara ni kwenu tu wao Wanasave life Tizama video hiyo uenjoy zako
 
Kombora moja la iron dome no dola elf 50, hata ikija tokea yakitumika makombora haya elf 10 sawa na dola milioni 5 (Trilioni 1.x pesa ya dafu), Hii bado ni pesa ya karanga kwa Israel ukilinganisha na maisha ya wana israel.
 
Sasa hivi hamas anasaidiwa na iran na lebanon , wakati myahudi yuko pekeyake, ila ukiona russia anakuja ujue mmarekan hachukui round kusaidia israel , nasema hivi hawa palestine wapigweee mpaka wachakae wamezidi kujitoa muhanga

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Israel hawez kusimama mwenyewe apo yupo marekani na mwingereza israel hana uwezo wowote na hiyo nchi ni kivuli tuu ila ni marekani iliy o middle east,
 
Kiukweli leo nilikuwa nafatikia mtifuano ama mapigano yanayoendelea kati ISEAEL NA PALESTINA hasa nikifatilia uwezo halisi wa hii defence system ya Israel

Nimeshangaa baada ya kujua kwamba kumbe ile system ili itungue kombora moja lililotoka kwa Hamas inatakiwa kurusha makombora atleats kumi ndo inapata target na kulioua kombora moja la HAMAS

Sasa kwa staili hii naona hili naona kabisa hii system sio effiency kabisa na inawakost mno waisrael

Kwa sababu kwa data zilizopo ni kwamba HAMAS wanatengeneza kombora lao moja kwa gharama ya Tsh ml 1.3 wakati Israel wanatengeneza kombora lao moja kwa gharama ya Tzsh ml 80.

Kwa gharama izo kombora moja la HAMAS lenye thamani ya tz sh 1.3 linaigharimu ISRAEL Tzsh ml 800 je kwa staili hii ni nani anapata hasara zaidi

Mi naona hii air defence system IRON DOME ya ISRAEL siyo effience na uwezo wake ni mdogo sana yaani kifupi vita hii inaigharimu zaidi israel kuliko Palestina

Hii IRON DOME bado siyo system tegemezi na bora kwa maana siku isreal akipiga a vita na nchi nyingine yenye silaha za kisasa kabisa ama yenye rocket launcher system kubwa itashindwa kuzuia makombora ama izo missle zitakazorushwa maa haya makombora ya HAMAS yanayorushwa ni local madw sasa vil ka.a wakiwa na sophiscated rocket launcher means iron dome haiwezi kuzuia so mi Naona iron dome siyo system bora saana
Ndani ya wiki 1 90% ya rocket zimekua intercepted
IMG_20210519_064201_209.jpg
 
Back
Top Bottom