Sehemu ya Kwanza.
John Fitzgerald Kennedy, aliyekuwa maarufu kama JFK au Bobby, alikuwa mwanasiasa wa Marekani aliyehudumu kama rais wa 35 wa USA kutoka mwaka 1961 hadi alipouawa mwishoni mwa...
HILI TATIZO LA MGAO HADI LINI WAJAMENI? BIASHARA ZETU ZINAKUFA MNATURUDISHA NYUMA KWENYE UMASIKINI TULIOUAGA.
KUANZIA leo nchi itaanza mgawo wa umeme ambao utachukua siku nne...
Kuna vitu vingi vinatokea katika maisha tunavichukulia kawaida but tukiviangalia kwa undani vina mengi ya kutushangaza sana. Kama hili hapa. Unajua mwandamo wa mwezi una nafasi kubwa ya kuaffect...
Ni mara chache sana kukutana na msomi ukamuuliza habari za Kemet akakujibu kwa ufasaha. Hii inaonesha ni kwa kiasi gani knowledge ya Kemet iliyofichwa hasa hasa kwa waafrika ili kutodhihilisha...
Mfano
Mtu umebuni bidhaa yako,lazima utatafuta wakala ambaye ataichukua kwako kwa gharama fulani na yeye ataenda kuisambaza, kuiuza, kwa gharama flani ili apate faida... Vile vile yule...
Jana nilibahatika kufanya maongezi na mzee moja wa zamani sana age inakimbilia kama miaka 90 now.
nilimuuliza maswali mengi sana yanayohusu imani ila tukaenda mpaka miaka ya nyuma kidogo kutokana...
KIOO
kioo ni moja kati ya vifaa vinavyotumika kuonyesha kitu kama copy yake jinsi ilivyo kwa akili ya kila mtu natural bila kufundishwa hujua hivyo,
Lakini kwa kitaalamu kioo kinatambulika kama...
CHAPTER ONE
(Line between life and death)
The universe is composed of different types of the living species from the ones that can be seen with the aid of powerful...
Matokeo ya mwanadamu kubadilika tabia yanachagizwa sana na kitu gani?
Je ni anasikiliza na kuruhusu sana hisia zimtawale kutokana na matukio yanayompelekea abadili mtindo wake wa maisha (Tabia)...
Habari wakuu.
Nimeekaa na kuwaza na kuwazua hizi dini zimeletwa tumuogope MUNGU au tumpende MUNGU?
Miaka ya tangu na tangu kulikuwa hakuna dini ila tuliamini kwamba kuna mbaye anaongoza hii...
Salute Comrades
Tunaishi katika dunia ambayo vitu ambavyo ni vyakweli vinaonekana ni Uongo (Conspiracy) na Vitu vya uongo vinaonekana ni Kweli. Lakini pia kuweka mahaba ya dini mbele kupita kiasi...
Intelligent people are typically crafty, focused, and intensely informed individuals who have used their highly learned abilities to solve problems in the past. Intelligent people have a history...
Kumekuwa na maswali mengi kutoka kwa watu mbalimbali kuhusu kuona aina za karatasi za foili kwenye vyombo mbalimbali vya anga za mbali.
Nadhani tunafahamu kuwa jua huzalisha joto kali sana na...
Fahamu kwanini self healing ni ngumu kuliko self distraction.
Self healing ni tendo gumu sana ila linawezekana. Sababu kubwa ni:
(i) Self healing inatoka ndani ya mwili kuathiri dunia, kuathiri...
Kiukweli ule ulinzi ni balaa ...kulikuwa na FFU na wale TISS wenye sare kama za jeshi na wengine wasio na uniforms wakiwa na silaha kali. Askari wenyewe wanaonekana si wa mchezo mchezo tuliowazoea...
Kwa mtu yeyote mwenye kukifahamu vizuri hiki chombo kinachojishugulisha na biashara ya pesa wao wasema kupanda na kuvuna atuhabarishe.
Kila kona ya Dar na baadhi ya Mikoa hapa nyumbani TZ DECI...
Heri ya mwaka mpya Mungu azidi kuwabariki na kuwapa mibaraka yake ktk mwaka 2017
Nafahamu nimegusa imani zenu Waislam na Roman Catholic mtanisamehe sina lengo la kuwakwaza nikushirikishana ili...
Habari zenu wana JF. Leo nataka niwaletee ukweli ambao wapinga mungu kama Kiranga huwa hawauelewi. Swali hilo ni hili.
Swali: Je, kama Mungu yupo, nani alimuumba Mungu? (Au ametokea wapi?)...
Nimekua nikifuatilia vita ya Israel na Hamas huko ukanda wa gaza. Ninachoshangaa hamna ngumi wala kareti ni makombora yanavurumushwa angani kama mvua!
Hiyo ni moja, mbili..
Nimevutiwa jinsi...