1. Daudi pamoja na kudharaulika umbile lake lakini alimuua Goliath
2. Petro pamoja na kuaminiwa kote lakini aliweza kumkana yesu Mara tatu
3. Yusuph pamoja na kukataliwa na nduguze lakini...
Salute..
Anaitwa James Hobson a.k.a Hacksmith ni Injinia,mbunifu na mtengenezaji wa video za YouTube. Hua anachukua idea za uongo kutoka kwenye Video games, movies na Comics mbalinbali. Huyu...
Zaidi ya viongozi na watafiti 1,000 wa teknolojia, akiwemo Elon Musk, wamezitaka maabara za ujasusi za bandia kusitisha maendeleo ya mifumo ya hali ya juu zaidi, na kuonya kwamba zana za AI...
Nchi nyingi, hasa zile zinazozalisha dhahabu huwa zinachapisha sarafu za dhahabu na kuuza. Sarafu hizi zina mambo mengi. Kwanza watu hununua kama kito kutokana na uzuri wake.
Pili watu hununua...
Kuna jamaa kwake kafunga vipaza sauti hua anaweka mawaidha na dua kiislamu, ni jambo jema sana hili. Ila sasa katika mawaidha aliyoyaweka jana usiku saa 4 kaweka mawaidha yanayohusu Kifo, kwakweli...
Kumekuwa na juhuudi kubwa sana zinazofanywa na nchi za magharibi juu ya kueneza ushoga duniani.
Wanatumia gharama ya fedha kubwa sana ili wafanikiwe kueneza ushoga duniani.
Swali
1. Je,wao...
Chakula Cha Ubongo
Ni hakika muda huenda kama upanga unavyokata
Napenda nikushirikishe machache niliyojifunza sote tupate kuchukua hatua
♤♡Kila Hatua Na Watu Wake
Usilazimishe mtu katika safari...
The Power of Positive Self-Talk
Mental strength is the ability to overcome challenges, cope with stress, and persevere in the face of adversity. It is an important characteristic that helps...
Asalam allaykum, Bwana yesu asifiwe,
Habarini nyote mnaoendelea kupigania katika ndoto zenu.
Ungana nami katika maada fupi isemayo ni "kitu gani kina kudrive katika maisha yako"
"Driving force"...
JINAMIZI:
Hiki ni kile kinacho aminika kuwa kiumbe chenye kukaba watu pale wanapolala chali au kuwasababishia watu kushindwa kukwepa wala kutingishika, lakini si kiumbe kama inavyoaminika na...
QUANTUM IMMOTALITY
Wasaalam
kuna mtaalamu alipata kusema
"UBONGO WA MWANADAMU HAUJAWAHI KUWAZA KITU AMBACHO HAKIPO AU HAKIJAWAHI kuwahi KUWEZEKANA AU KUJA KUWEZEKANA"
kama hujanielewa kwenye...
Nimekuwa nikiwaza usiku na mchana kuhusu "Deep State" nikijiuliza hivi ni nini hasa?
Kwangu mimi Deep State ni kikundi cha wahuni ambacho kinaincontrol Serikali kuu, Deep state linaundwa na...
Nasema haya kwa dhati kabisa kutoka moyoni kuwa Shetani anaongoza kwa 100% dhidi ya mpinzani wake kulingana na mambo yaliyokatazwa na vitabu vitakatibfu kuzidi kupuuzwa na binadamu kila kukicha...
Habari wanabodi.!
Nimetengeneza thread hii mahususi kwa wale wote wanaopenda kufuatilia thread zangu humu Jamii Intelligence na kujifunza mambo ya kiroho au powers ili waweze kupata urahisi wa...
Wakuu.
Kuna suala linaniumiza sana Kichwa.
Mwaka 1996 Inaasemekana papa JOHN PAUL II
Alikanyaga Ardhi ya Tanzania na Kupiga MAGOTI na kuibusu?
1. Hiki kitu hakijawahi kufanya na papa yoyote JE...
Duniani tumo binadamu wa aina tatu kiakili na wote tunaishi pamoja in harmony na tumegawanyika katika makundi makuu matatu kiutendaji na utekelezaji wa akili zetu.
Kundi la kwanza ni wale...
Habari JF
Wanadamu ni wanafiki sana tena pengine nahisi wengi tunafanya mambo hayo ya kipumbavu kwa mihemko na kufwata mkumbo kibaya zaidi kwa mfano una darasa lina wanafunzi 40 wachukue hao...
Hivi mtu wa kwanza aliyejua kusoma na kuandika alifundishwa na nani?
Au walimu wa kwanza waliowafundisha watu kusoma na kuandika wao walifundishwa na nani?
Hivi hii kitu ilikuwaje wazee?
Miaka ya mwanzo wakati ukristo unaanza kulikuwa na vuguvugu la wayahudi na wakristo. Watu hawa walikuwa wakipinga kuwa kwenye dini zozote. Waliamini mtu anaweza kumuabudu Mungu bila kuwa kwenye...
Ugonjwa uliolipuka mwishoni mwa mwaka 2019 ambao kwa sasa unaelekea umedhibitwa kikamilifu baada ya miaka mitatu bado haujajulikana chanzo chake. Hizi hapa ni baadhi ya nadharia za chanzo chake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.