Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,779
- 14,303
Kuna vitu vingi vinatokea katika maisha tunavichukulia kawaida but tukiviangalia kwa undani vina mengi ya kutushangaza sana. Kama hili hapa. Unajua mwandamo wa mwezi una nafasi kubwa ya kuaffect mood, behavior and afya ya akili zetu!?
Kuna kipindi nikiwa pwani nilisikia mtu akisema kwa dharau kwamba mwacheni huyo ni "mwezi nchanga" si kuelewa haraka haraka hadi nilipofuatilia na sio siri ilinishangaza sana.
Imetokea Mara kwa Mara mwezi ukiandama na kuwa "full moon" kuna baadhi ya watu wanakuwa wehu kabisa, mahospitali yanajaa wagonjwa, mbwa wanabweka usiku mzima na kuwa wakali sana, idadi kubwa ya watu wanapata usingizi kwa shida sana yaani mambo yanaparaganyika flani Kwenye kipindi hicho? Hapa ndipo wale watu walio much sensitive zaidi na moon wanakuwa vichaa kwa muda flani.
Utajiuliza hii inasababishwa na nini..ngoja nikusaidie hili... Hivi unajua Mwezi ndio unaosababisha kupwa na kujaa kwa maji baharini kutokana na gravitational pull yake kati ya Dunia na mwezi yaani ukiona maji yamekupwa baharini ujue iliyotoa hayo maji hapo ni uvutano wa Dunia na mwezi na ikitokea maji yamejaa tena basi ujue ni mwezi umesababisha hayo yote.
Sasa kwanini hii imuathiri na binadamu hadi awe aggressive, violent, and sleepless kwenye full moon.. Iko hivi asilimia 80% ya mwili wa binadamu ni maji na zaidi ubongo wa binadamu ndio "moistest" organ ya binadamu ndio kiungo chenye umajimaji zaidi kuliko chochote kwa mnyama yeyote Yule kwa hiyo mwezi unapokuwa full moon basi unaathiri vyote vyenye maji maji kwa kuvivuruga kuanzia baharini hadi ndani ya mwili wa binadamu especially ubongo sasa ndio hapo ubongo unapochanganyikana na sifongo na ubongo na mhusika kuwa insane and psycho na kusababisha hata mbwa nao kwa upande wao wanabweka sana usiku kucha tirelessly maana nao wanapitia the same process ya binadamu.
Mdau kituko nae kuongeza hivi; namquotes!
"Kisayansi gravitation force ya Mwezi ndio unaosababisha High na low Tides, so sehemu ulipo mwezi usawa wa Dunia basi maji yatavutwa kuelekea kwenye mwezi na tutapata high tides na sehemu ambayo haina mwezi tunapata low tides
Kichwa maji,
Ni msemo pia unatumiwa sana na watu wa pwani, yaani kichwa kisicho na akili za kutosha, lakini kiuhalisia ni Kichwa ambacho kimezidi majimaji kwenye Ubongo zaidi ya majimaji ya kawaida yanayopaswa kuwa kwenye ubongo, Sasa effect ya Mwezi kwenye maji ya Bahari au Maziwa Makubwa pia inaeffect maji yaliyozidi kwenye Ubongo (haaaa so fan) , so sio wote wanaopata shida ya mWezi mchanga bali wale vichwa maji ambao sio wengi na ni kilema cha kawaida tu"