Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,818
- 11,542
Reincarnation (kuzaliwa mara pili) ni ile imani/filosofia kuwa mtu anapofariki, basi roho yake inazaliwa upya kuwa mtu mwingine au mnyama mwingine au kiumbe cha kiroho (mzimu,malaika etc.) Kulingana na ubora wa maadili aliyoishi mtu huyo.
Yani kwa mfano kama alikuwa mzuri sana anakuwa malaika au mzimu, na akiwa mbaya sana anazaliwa kama nguruwe, akiwa kawaida tu ndo anazaliwa binadamu
Kwahyo sasa, kama hiyo imani ni kweli, inamaana unaweza ukafa mwafrika mfupi na ukazaliwa mchina tajiri au mzungu masikini. Na inawezekana hata wewe hapo unayesoma haya maandishi na unayeenda kusoma hizi herufi hapa mbele DUHDLSCI ulishawahi kuwa mtu fulani huko zamani. labda wewe ndiyo Hitler umezaliwa Tanzania kwa mara ya pili kama mtu masikini asiye na madaraka/mamlaka yoyote kama adhabu ya hitler kuanzisha vita etc.
Wafuasi wa imani/filosofia hii hutumia hii imani kuwaasa watu waishi maisha mazuri hapa duniani ili wazaliwe wazuri zaidi kama matajiri/Viongozi/Malaika nk. Kulingana na desire ya kila mtu.
Huu ni kama msingi (foundation) wa maisha yao hapa duniani.
Moral base/Morality yao yote nzima hapa duniani ni kama mti uliochipukiza kutoka kwenye mzizi mkuu huu wa imani hii ya reincarnation.
Kila tamaduni,desturi,mila,mwiko,katiba,Sheri, amri,tabia,haiba,mwenendo,protocol,sifa,mazoea,matendo ya mtu yamejengwa na msingi huu wa imani hii.
Maana imani hii inamuaminisha muumini aishi maisha mazuri ili afanikiwe kato
Ika yajayo, kwahyo atafanya Matendo mema ambayo matendo hutengeneza mazoea na mazoea hutengeneza sifa za mtu (mfano maezoea kunywa bia kila usiku yanakuletea sifa ya ulevi au tabia ya kuvadilisha wanaume yanakuletea sifa ya.
Hizi sifa ndiyo huleta mwenendo Na mwenendo huwa haiba na haiba tabia nk. Nk.
Kwa wakristo na waislam msingi sio reincarnation bali ni imani ya kuwa kuna Mungi/Allah/Yesu au muhamad hakuwa mhuni fulani kama Zumaridi nk.
Sasa mimi leo nmekuja kusema hii imani ya reincarnation ni pointless kwakuwa A)hatuna ushahidi wa hili na B) hata kama tukiamini kuwa ni kweli watu wanareincarnate na sisi tulishawahi kuishi zamani--kitendo cha kuwa hatuna kumbukumbu ya maisha yetu ya zamani na hata watu wanaozaliwa leo hawasemi wao ni watu wa zamani, kinaonesha kuwa hakuna reincarnation.
Nawajua ni wabisho hawa watu wa reincarnation..lazima watajitetea kwa kusema kuwa: reincarnation ipo, ila ukizaliwa kama mtu mwingine unafutwa kumbukumbu zote za maisha ya zamani..Roho ni ileile ila unakuwa hauna kumbukumbu kwakuwa kumbukumbu zinatunzwa kwenye ubongo unaokufa na kuoza, lakini roho haipo kwenye ubongo Maana yenyewe ni spiritual(ya kiroho) sio physical (ya kimwili) kwahyo inabaki hai na kuchukua mwili mwingine. Kwahyo roho yako haifi.
Mimi nitawajibu kuwa; Roho ndiyo identity ya mtu fulani, Yani Roho ya mtu ndio utambulisho mkuu wa mtu husika. Na Identity ya mtu kuwa huyu ni mtu fulani inatokana na A)kumbukumbu zake alizonazo kichwani kuhusu yeye ni nani, anaitwa nani amezaliwa wapi, anaishi wapi, ndugu zake marafiki na majirani zake ni kina nani na yeye anafanya kazi gani,anajua nini kuhusu anachofanyia kazi (kama ujuzi wa biology kwa daktari), ujuzi wake nk.
na B)kumbukumbu zetu tunaomzunguka na kumjua kuhusu yeye. Maana kwa mfano wewe ulivyo bossi hivyo, uamke kesho kwenda kazini halafu ukute watu wote wa kazini wamesahau kila kitu kuhusu wewe na nafasi ya sifa zako kazini wanakumbuka kama ni za yule mlinzi wako ndiyo ana sifa hizo.
Basi wewe ukifika kazini utaanza kujiita boss na kuagiza watu halafu wanakucheka a kukuona kama kichaa na kuita walinzi wakufukuze. Na yule mlinzi watamtetemekea.
Look the Point is, Sisi watu/Roho zetu/nafsi zetu ziko defined (zinafasiliwa) kunatokana na sifa, tabia, status, tamaduni, zetu. Na hivyo vyote vimeundwa na kumbukumbu zetu. Màana bila kumbukumbu hakuna sifa/mazoea/tabia. Hivo Kama kumbukumbu zako na za watu wanaokuzunguka zikifa ni sawa na tu na wewe umekufa
Sasa kama unazaliwa na mwili mwingine, bila kumbukumbu zako ni sawa tu na umekufa na huyo aliyezaliwa ni mwingine maana atakuwa na maisha yake mengine.
Na kama ni hivyo, ni upuuzi kuweka morality yako yote kwa msingi wa kipuuzi wa reincarnation.
Kuna faida gani ya kuishi kwa shida na kujinyima maisha ya sasa ili uje uzaliwe tajiri wakati hata ukizaliwa tajiri hautajikumbuka.? Hautajua kuwa uliwahi kuwa wewe?
Kuna mtu ananipigia simu saivi ngoja niongee naye, nikimaliza nakuja kuwaelezea kwanini pia ni upuuzi kuweka misingi ya morals/ morality kutoka kwenye imani ya kwenye kitabu (Biblia/Quran/Vedas/Gitas/Torah/Tripitaka/Gurus etc.)