Dhahabu: Ufunguo wa maisha ya milele

Artificial intelligence

JF-Expert Member
Jan 28, 2021
1,262
2,191
Wakati unasikia taarifa kwa sasa kwamba dhahabu itaanza kutumika kutibu cancer (taarifa ambayo imewafurahisha watu wote) ni kitu kilikuwepo karne na karne watu wametafuta ukweli wake na kuufanyia tafiti ambayo inaenda kuzaa matunda kwa dunia nzima

Amini ya kwamba kila linalofanyika leo, lilishafanyika zamani na kama halikufanyika basi lilikuwepo. Sayansi ya kwenda angani, kwenye sayari nyingine, ilikuwepo tangia 200BC kinachofanyika leo ni marudio tu, tofauti ni kwamba kipindi hicho yalifanywa na viumbe wasio binadamu wa kawaida ukilinganisha na inavyofanyika leo na mwanadamu .

Maisha ya milele haina maana ya kwamba ni kuishi bila kifo la asha! bali kuishi muda mrefu zaidi hadi pale mauti yatakapo kukuta. Maisha ya milele naamanisha umri mrefu wa kuishi hapa duniani kama ilivyokuwa kwa Methuselah miaka 969, Adam miaka 930, Seth Mtoto wake Adam miaka 912, Enosh mtoto wa Seth miaka 905, Kenani mtoto wa Enosh miaka 910, Mahalalel ,mtoto wa Kenani miaka 895, Jared mtoto wa Mahalalel miaka 962 na wengine wengi kama mfalme Galgamesh. Hivyo hakuna maisha ya kutokufa, watu wote walioishi miaka mingi walikuja kufa baadae, Methuselah pamoja na miaka yote hiyo alikuja kufa, hivyo kuishi milele kupo, ila huwezi kukwepa kifo.

Wakati sisi tunakazana kusoma tafiti zao, wao wanakazana kusoma na kutafsiri maandiko ya kale kutoka Bible, Sumerian, Babylon na Mesopotamia na kuyafanyia tafiti ambazo zinakuja kufanya kazi katika nyakati hizi za sasa. Sayansi na teknolojia nyingi kutoka kwa hivi vyanzo, ndizo zinazoendasha maisha kwa sasa, si kwenda sayari nyingine, tiba, silaha za maangamizi, hayo yote yameandikwa na yapo, wanachokifanya wenzetu ni kuyatafsiri na kuyafanyia kazi. Unaposikia USA wana Area 51, si kwa bahati mbaya.

Ukisoma katika Sumerian, Mesopotamia n.k wamezungumzwa viumbe waitwao Annunaki, viumbe hawa walipatikana miaka 400,000 iliyopita, walitoka sayari nyingine (neflim/12th planet), wakaja duniani kutafuta Dhahabu kwa ajili kusafisha ozone ya sayari yao iliyokuwa imeharibika kutokana na machafuko baina yao, hivyo walivyofika duniani wakamtengeneza mtu kwa mfano wao hapa naamanisha "modern man" yaani "homo sapiens" ili awe kijakazi wake wa kutafuta dhahabu (haya yameandikwa pia kwenye agano la kale), sumerian waliwatumia Annunaki kama Mungu wao (hii nitaelezea siku nyingine).

Je kwa nini walikuja duniani kuitafuta dhahabu kwa hali na mali?, kwa sababu poda ya dhahabu inaponya na kutibu, inarefusha umri wa kuishi, hivyo ikitumika vizuri itafanya maajabu mengi kwa mwanadamu.

Biblia na maajabu ya dhahabu
Moja kati ya vitu vimetajwa sana kwenye biblia, dhahabu ni moja wapo, siyo kwamba ilitajwa bahati mbaya, hapana kuna kusudi lake, ambalo bado mwanadamu anapigana kulijua, ni iwapo atafanikiwa, basi itakuwa na manufaa sana kwake.

Kula poda ya dhahabu kwenye agano la kale
Kutoka 32:2 inaelezea wakati Musa(mosses) akiwa anawasiliana na Mungu , Aaron kaka yake mkubwa Musa, alihisi kuchanganyikiwa kwa kukosa maamuzi kutokana na kwamba Mosses alikuwa ameenda muda mrefu bila kurudi. Aaron alivyoona hivyo akaamua kuwaagiza wana wa waisrael wote kukusanya vipande vya dhahabu walivyokuwa navyo na kisha kuvipitisha kwenye moto na kutengeneza "ndama wa dhahabu" akaenda mbali kwa kumjengea altar na kumuita Mungu, huku akiwa hamru wana wa Israel kusali na kuomba chini ya miguu ya ndama huyo wa dhahabu. Baada ya Mungu kuona hivyo akamuhamru Mosses kurudi kwenye kambi ya wana wa Israel, Mosses alivyofika alikasirika sana kutokana na hali aliyoikuta, akamchoma na kumuyeyusha yule ndama wa dhahabu kuwa poda, baada ya hapo akachukua poda kadhaa akachanganya na maji , kisha akawapa wana waisrael wanywe mmoja baada ya mwingine.

Ila kitu kimoja ni kwamba ukiichoma dhahabu kwa moto huwezi kupata poda utapata 'molten gold', lakini baadae kwenye stori inaelezwa kwamba poda ya dhahabu kwa kutumia 'frankincense' ingeweza kutengeneza 'mkate wa dhahabu' ambao watu wa kale katika biblia waliuita 'bread of presence'.

Mosses inawezekana alijua nguvu ya poda ya dhahabu, japo uhusiano wake na hili jambo umepindishwa sana, kwahiyo yawezekana dhahabu ikawa ufunguo wa maisha ya milele , uliofichwa katika maandiko matakatifu hivyo mwanadamu anautafuta ukweli, na hapa tunakutana na maajabu ya dunia ya mtu anayeitwa David Hudson.

THE STRANGE SAGA OF "ORBITALLY REARRANGED MONO-ATOMIC ELEMENTS"
Mwana Arizona David Hudson ambaye alijiusisha na shughuli za kilimo zaidi ya karne 5 zilizopita, aliweka kipaumbele kwenye utafiti wa 'monoatomic gold powder' au white gold powder , baada ya utafiti wake akaja na 'orbitally rearranged monoatomic elements (ORME)', ORME katika waebrania lilimanisha mti wa maisha yaani "tree of life". Mtafiti huyu alisema ORME ni matokeo ya nucleus deformation na kwamba hali hii inawezekana kwa precious metals tu kama vile silver, palladium, rhodium, ruthenium, osmium, iridium, platinum na gold.

"Within the new configuration, the atoms interact in two dimensions, with the super deformed nuclei reaching high spin,low energy states. In this state the element become perfect superconductors, with their electrons combining in "cooper Pairs" and thus becoming the photons of light".

Mwaka 2013 mtafiti Jim Marrs alinukuliwa akisema "Hudson ameanzisha kitu kipya na chenye uwezo wa kuubadili mwili wa binadamu, mabadiliko chanya kwenye vina saba(DNA), kutibu cancer na matatizo ya uzazi na kufungua mlango wa maisha ya milele kwa watu". Hii imefanya wanasayansi ulimwengu waamini kwamba kwa dhahabu na nanotechnology kwa pamoja wataweza kutibu cancer kabisa na kupunguza au kumaliza side effects zote.

GOLD AND CANCER
Mwaka 2014 Rice University, Texas, walifanya jaribio la kuziwekea seli zenye cancer solution of nontoxic gold colloids, tiny spheres of gold that are thousands of times smaller than a living cell, seli zote zilizokuwa zimeathirika kwa cancer zilikufa, huku zile ambazo hazikuwa na cancer pamoja na organs nyingine zikabaki kama zilivyokuwa bila kupata madhara yeyote. Njia hii imeleta ufanisi zaidi ya mara 17, ukilinganisha na njia inayotumika kwa sasa kutibu cancer.

Umuhimu wa ORME
Hudson katika utafiti wake alihitimisha kwa kusema hivi "ikiwa dhahabu iliyo katika hali ya poda ambayo ni ORME itamezwa/kuwekwa kwenye mwili wa mtu, mtu huyo anabadilika kwenda kwenye kiumbe mwingine mpya, ambaye atakuwa na ujuzi wa ramli(divining), levitation, telepathy, uwezo wa kuendesha akili za wengine na kurudisha uhai kwa mtu aliyekufa karibuni".

Vile vile mtafiti Anna Hayes mwaka 2000 alinukiliwa akisema "this life giving substance briefly fires up the dormant codes in the higher dimensional DNA strand templates, releasing bursts of higher frequency into the DNA template, creating temporary 'windows' to the higher dimensions and giving the physical body a temporary boost ".

Kwa kuzingatia ushahidi wa kihistoria kutoka kwenye Bible, sumerian, mesopotamia n.k ni wazi kwamba watu wa kale waliishi maisha marefu kwa kutegemea dhahabu pia, hivyo watafiti na wanasayansi kwa kulijua hilo wameona wawekeze nguvu nyingi kwenye kutafiti uhusiano uliopo kati ya dhahabu na 'eternal life', uzuri ni kwamba Sayansi haidanganyi ni vitu real ,hivyo naamini ni sahihi na wapo sahihi kwenye hili.

Bila kusahau ukiweza kuyaelewa na kuyatafsiri maandishi ya watu wa kale na kuyafanyia tafiti, dunia na mwanadamu vitakuwa kiganjani mwako.

104902147-RTX3SM45-gold.jpg

product-500x500.jpeg
 
Ni kitu gani kilitokea mpaka ukakosekana muunganiko wa watu wa kale na sisi wa leo??

Yani ni kitu gani au kizazi gani kilichoharibu uhusiano wetu na hao watu wa kale. Kwa hali iliyopa sasa ni kama vile hicho kizazi cha kale kilipotea gafla sana.
 
Unafkiri mwendazake asingeweza pata hiyo dhahabu? Dhahabu ndani ya taifa si mali ya mfalme?

Tuachane na hilo swlai hapo juu

Wakat wale mamajusi wanaenda kumtazama Yesu alipozaliwa, moja ya zawadi waliyobeba ilikuwa ni dhabahu.

Ufunuo sura 3 mwishoni, kuna sehemu Yesu analiambia kanisa kuwa likanunue kwake dhahabi.

Dhahabu ni nini? Dhahabu ni kitu chenye thamani mno, kitu ambacho hakishuki thamani, fedha inashuka thamani, ardhi n.k ila sio dhahabu.

Unaposoma Biblia, hasa nyakati hizi, yaani baada ya ujio wa Kristo, itazame mno Biblia kiroho na sio kimwili zaidi, na sana sana inakupasa uwe mtu wa rohoni kuielewa.

Naogopa kuzama saana ili tusije tukatoka nje ya mada.
 
bandiko umetumia nguvu nyingi kulifunganisha na dini (ukristo) kwenye package moja..
Nyuma ya pazia huwezi kutenganisha dini na sayansi, wakati dini inatawala dunia, sayansi inaendesha dunia. Kuna tafiti ili zikubalike lazima mamlaka ya dini ikubali kuchapishwa kwake, tafiti zote zinazohusu uumbaji haziwezi kukubalika, labda pale dini itakapopoteza nguvu yake, ila zinazohusu utengenezaji hizi zitaendelea kuruhusiwa.
 
Ni kitu gani kilitokea mpaka ukakosekana muunganiko wa watu wa kale na sisi wa leo??

Yani ni kitu gani au kizazi gani kilichoharibu uhusiano wetu na hao watu wa kale. Kwa hali iliyopa sasa ni kama vile hicho kizazi cha kale kilipotea gafla sana.
Babylonians walichangia kwa kiasi kikubwa, japokuwa kingship on the earth ni drive factor kubwa, kiasi cha kwamba falme moja ingeweza kuteketeza kabisa koo na uzao wa falme nyingine.
 
Unafkiri mwendazake asingeweza pata hiyo dhahabu? Dhahabu ndani ya taifa si mali ya mfalme?

Tuachane na hilo swlai hapo juu

Wakat wale mamajusi wanaenda kumtazama Yesu alipozaliwa, moja ya zawadi waliyobeba ilikuwa ni dhabahu.

Ufunuo sura 3 mwishoni, kuna sehemu Yesu analiambia kanisa kuwa likanunue kwake dhahabi.

Dhahabu ni nini? Dhahabu ni kitu chenye thamani mno, kitu ambacho hakishuki thamani, fedha inashuka thamani, ardhi n.k ila sio dhahabu.

Unaposoma Biblia, hasa nyakati hizi, yaani baada ya ujio wa Kristo, itazame mno Biblia kiroho na sio kimwili zaidi, na sana sana inakupasa uwe mtu wa rohoni kuielewa.

Naogopa kuzama saana ili tusije tukatoka nje ya mada.
Unaweza kuwa nacho ila usijue matumizi yake. Kuhusu biblia agano la kale limeweka wazi mambo mengi kuliko agano jipya, lengo la kuviondoa vile vitabu kadhaa wanajua wenyewe. Kuhusu tafsiri, tafsiri sahihi ni ile inayotakana na lugha asili ya neno hilo.
 
Wakati unasikia taarifa kwa sasa kwamba dhahabu itaanza kutumika kutibu cancer (taarifa ambayo imewafurahisha watu wote) ni kitu kilikuwepo karne na karne watu wametafuta ukweli wake na kuufanyia tafiti ambayo inaenda kuzaa matunda kwa dunia nzima

Amini ya kwamba kila linalofanyika leo, lilishafanyika zamani na kama halikufanyika basi lilikuwepo. Sayansi ya kwenda angani, kwenye sayari nyingine, ilikuwepo tangia 200BC kinachofanyika leo ni marudio tu, tofauti ni kwamba kipindi hicho yalifanywa na viumbe wasio binadamu wa kawaida ukilinganisha na inavyofanyika leo na mwanadamu .

Maisha ya milele haina maana ya kwamba ni kuishi bila kifo la asha! bali kuishi muda mrefu zaidi hadi pale mauti yatakapo kukuta. Maisha ya milele naamanisha umri mrefu wa kuishi hapa duniani kama ilivyokuwa kwa Methuselah miaka 969, Adam miaka 930, Seth Mtoto wake Adam miaka 912, Enosh mtoto wa Seth miaka 905, Kenani mtoto wa Enosh miaka 910, Mahalalel ,mtoto wa Kenani miaka 895, Jared mtoto wa Mahalalel miaka 962 na wengine wengi kama mfalme Galgamesh. Hivyo hakuna maisha ya kutokufa, watu wote walioishi miaka mingi walikuja kufa baadae, Methuselah pamoja na miaka yote hiyo alikuja kufa, hivyo kuishi milele kupo, ila huwezi kukwepa kifo.

Wakati sisi tunakazana kusoma tafiti zao, wao wanakazana kusoma na kutafsiri maandiko ya kale kutoka Bible, Sumerian, Babylon na Mesopotamia na kuyafanyia tafiti ambazo zinakuja kufanya kazi katika nyakati hizi za sasa. Sayansi na teknolojia nyingi kutoka kwa hivi vyanzo, ndizo zinazoendasha maisha kwa sasa, si kwenda sayari nyingine, tiba, silaha za maangamizi, hayo yote yameandikwa na yapo, wanachokifanya wenzetu ni kuyatafsiri na kuyafanyia kazi. Unaposikia USA wana Area 51, si kwa bahati mbaya.

Ukisoma katika Sumerian, Mesopotamia n.k wamezungumzwa viumbe waitwao Annunaki, viumbe hawa walipatikana miaka 400,000 iliyopita, walitoka sayari nyingine (neflim/12th planet), wakaja duniani kutafuta Dhahabu kwa ajili kusafisha ozone ya sayari yao iliyokuwa imeharibika kutokana na machafuko baina yao, hivyo walivyofika duniani wakamtengeneza mtu kwa mfano wao hapa naamanisha "modern man" yaani "homo sapiens" ili awe kijakazi wake wa kutafuta dhahabu (haya yameandikwa pia kwenye agano la kale), sumerian waliwatumia Annunaki kama Mungu wao (hii nitaelezea siku nyingine).

Je kwa nini walikuja duniani kuitafuta dhahabu kwa hali na mali?, kwa sababu poda ya dhahabu inaponya na kutibu, inarefusha umri wa kuishi, hivyo ikitumika vizuri itafanya maajabu mengi kwa mwanadamu.

Biblia na maajabu ya dhahabu
Moja kati ya vitu vimetajwa sana kwenye biblia, dhahabu ni moja wapo, siyo kwamba ilitajwa bahati mbaya, hapana kuna kusudi lake, ambalo bado mwanadamu anapigana kulijua, ni iwapo atafanikiwa, basi itakuwa na manufaa sana kwake.

Kula poda ya dhahabu kwenye agano la kale
Kutoka 32:2 inaelezea wakati Musa(mosses) akiwa anawasiliana na Mungu , Aaron kaka yake mkubwa Musa, alihisi kuchanganyikiwa kwa kukosa maamuzi kutokana na kwamba Mosses alikuwa ameenda muda mrefu bila kurudi. Aaron alivyoona hivyo akaamua kuwaagiza wana wa waisrael wote kukusanya vipande vya dhahabu walivyokuwa navyo na kisha kuvipitisha kwenye moto na kutengeneza "ndama wa dhahabu" akaenda mbali kwa kumjengea altar na kumuita Mungu, huku akiwa hamru wana wa Israel kusali na kuomba chini ya miguu ya ndama huyo wa dhahabu. Baada ya Mungu kuona hivyo akamuhamru Mosses kurudi kwenye kambi ya wana wa Israel, Mosses alivyofika alikasirika sana kutokana na hali aliyoikuta, akamchoma na kumuyeyusha yule ndama wa dhahabu kuwa poda, baada ya hapo akachukua poda kadhaa akachanganya na maji , kisha akawapa wana waisrael wanywe mmoja baada ya mwingine.

Ila kitu kimoja ni kwamba ukiichoma dhahabu kwa moto huwezi kupata poda utapata 'molten gold', lakini baadae kwenye stori inaelezwa kwamba poda ya dhahabu kwa kutumia 'frankincense' ingeweza kutengeneza 'mkate wa dhahabu' ambao watu wa kale katika biblia waliuita 'bread of presence'.

Mosses inawezekana alijua nguvu ya poda ya dhahabu, japo uhusiano wake na hili jambo umepindishwa sana, kwahiyo yawezekana dhahabu ikawa ufunguo wa maisha ya milele , uliofichwa katika maandiko matakatifu hivyo mwanadamu anautafuta ukweli, na hapa tunakutana na maajabu ya dunia ya mtu anayeitwa David Hudson.

THE STRANGE SAGA OF "ORBITALLY REARRANGED MONO-ATOMIC ELEMENTS"
Mwana Arizona David Hudson ambaye alijiusisha na shughulu za kilimo zaidi ya karne 5 zilizopita, aliweka kipaumbele kwenye utafiti wa 'monoatomic gold powder' au white gold powder , baada ya utafiti wake akaja na 'orbitally rearranged monoatomic elements (ORME)', ORME katika waebrania lilimanisha mti wa maisha yaani "tree of life". Mtafiti huyu alisema ORME ni matokeo ya nucleus deformation na kwamba hali hii inawezekana kwa precious metals tu kama vile silver, palladium, rhodium, ruthenium, osmium, iridium, platinum na gold.

"Within the new configuration, the atoms interact in two dimensions, with the super deformed nuclei reaching high spin,low energy states. In this state the element become perfect superconductors, with their electrons combining in "cooper Pairs" and thus becoming the photons of light".

Mwaka 2013 mtafiti Jim Marrs alinukuliwa akisema "Hudson ameanzisha kitu kipya na chenye uwezo wa kuubadili mwili wa binadamu, mabadiliko chanya kwenye vina saba(DNA), kutibu cancer na matatizo ya uzazi na kufungua mlango wa maisha ya milele kwa watu". Hii imefanya wanasayansi ulimwengu waamini kwamba kwa dhahabu na nanotechnology kwa pamoja wataweza kutibu cancer kabisa na kupunguza au kumaliza side effects zote.

GOLD AND CANCER
Mwaka 2014 Rice University, Texas, walifanya jaribio la kuziwekea seli zenye cancer solution of nontoxic gold colloids, tiny spheres of gold that are thousands of times smaller than a living cell, seli zote zilizokuwa zimeathirika kwa cancer zilikufa, huku zile ambazo hazikuwa na cancer pamoja na organs nyingine zikabaki kama zilivyokuwa bila kupata madhara yeyote. Njia hii imeleta ufanisi zaidi ya mara 17, ukilinganisha na njia inayotumika kwa sasa kutibu cancer.

Umuhimu wa ORME
Hudson katika utafiti wake alihitimisha kwa kusema hivi "ikiwa dhahabu iliyo katika hali ya poda ambayo ni ORME itamezwa/kuwekwa kwenye mwili wa mtu, mtu huyo anabadilika kwenda kwenye kiumbe mwingine mpya, ambaye atakuwa na ujuzi wa ramli(divining), levitation, telepathy, uwezo wa kuendesha akili za wengine na kurudisha uhai kwa mtu aliyekufa karibuni".

Vile vile mtafiti Anna Hayes mwaka 2000 alinukiliwa akisema "this life giving substance briefly fires up the dormant codes in the higher dimensional DNA strand templates, releasing bursts of higher frequency into the DNA template, creating temporary 'windows' to the higher dimensions and giving the physical body a temporary boost ".

Kwa kuzingatia ushahidi wa kihistoria kutoka kwenye Bible, sumerian, mesopotamia n.k ni wazi kwamba watu wa kale waliishi maisha marefu kwa kutegemea dhahabu pia, hivyo watafiti na wanasayansi kwa kulijua hilo wameona wawekeze nguvu nyingi kwenye kutafiti uhusiano uliopo kati ya dhahabu na 'eternal life', uzuri ni kwamba Sayansi haidanganyi ni vitu real ,hivyo naamini ni sahihi na wapo sahihi kwenye hili.

Bila kusahau ukiweza kuyaelewa na kuyatafsiri maandishi ya watu wa kale na kuyafanyia tafiti, dunia na mwanadamu vitakuwa kiganjani mwako.

View attachment 2079444

View attachment 2079446
😂😂😂 mkuu umeamua unilipuwe kaavatar kangu JF ni balaha👐

Watu wa kale walikuwa na teknologia ya juu sisi tunaiga tu kwa sasa. Annunaki ndiye kiumbe wa kwanz kufanya human cloning. Alafu ww jamaa unasoma sana vitabu.
 
Aiseee nilichelewa kuiona hii mada,ila kiufupi hua nafarijika sana kuona kumbe Kuna watu wanaujua ukweli wa mambo,
Mkuu ulichoandika ni kweli tupu na Mimi humu hua najaribu kukigusia kwenye baadhi ya maandiko humu ila watu ni wagumu kuelewa sana sababu wamemezwa na propaganda sana,
Ipo siku itatupasa kuandaa maada kuwahusu Annunaki na Accient civilization za kale kama Sumerians,Assyrian, Babylon, Egyptian,Kush,Dogon, Aztec,Maya Peru, Indus valley,china, India. Nk
Ili kuwafumbua macho watu waujue ukweli na mwanzo wa haya mambo!
 
Back
Top Bottom