caidah
Senior Member
- Aug 17, 2017
- 110
- 153
Visual Accessing Cues. Ni njia inayotumika kutambua na kuonesha ni upande gani wa ubongo mtu anautumika wakati anafikiri kabla ya kuongea, watu wa inteligensia wamekuwa wakitumia njia hii kufanya upelelezi na kutambua kama mtu anasema ukweli au anadanganya sasa leo ntawavujishia hizi siri za usalama twende sawa
Zipo njia tofauti za utambuzi accessing cues kwamfano- eye movement,tempo,voice tone, body posture,genisture na breathing pattern
Leo tutajukita kwenye eye movement
Ukimuliza mtu swali angalia kwa makini upande anao uangalia na ujaribu kuinganisha na picha nilizoambatanishha (hizi ni kwa right handed person )
tuanze na moja baada ya nyingne
01. visual constructed image; hii ni kama ukimwambia mtu a imagine kitu fulani macho yake anakuwa anaangalia juu kushoto ( up to the left) wakati anatengeneza hio picha kichwani kwake
mfano ;mulize mtu ajaribu kufikiria kuku mwenye miguu minne atakuwaje alaf we angalia macho yake yataangalia upande gani
02. Visual remembed image; hii inatokea mtu akiwa anakumbukia kitu fulani kwa kutengeneza picha yake kichwani macho yake yataenda juu kulia
mfano mulize mtu ulikula nini jana usiku
03. Auditory constructed hii inatokea mtu akiwa anatengeneza sauti kichwani macho yake yataenda kushoto mfano ukimwambia mtu aongee kama nyerere
04. Auditory remembered; hii ni kama mtu anakumbukia sauti fulani macho yake yataenda kulia wakati anavuta kumbukumbu
05. Feeling kama akiwa ana recall harufu ,ladha au feeling flani macho yake yataenda chini kushoto mfano ukimuliza mtu akwambie ladha ya chakula alichokula
06. Auditory internal hii mara nyingi mtu akiwa anaongea mwenywe macho yanaangalia chini kulia
Tuje kwenye kumtambua mtu kama anasema uongo au ukweli kwa njia ya kumtazama machoni
Kiujumla ukimuliza mtu swali kama anasema ukweli macho yake yataangalia sana upande wa kulia (as you face him/her) akiwa anakumbuka kilichotokea kwa kuangalia sana upande wa kushoto itamaanisha anachokwambia ni constructed (cha kutengeneza ) au kwa maana nyingine uongo (a lie)
Kumbuka njia hii sio mara zote itakupa asilimia 100 ya kutambua ukweli wa mtu ni moja tuu kati ya njia nyingi za lAccessing Cues ambazo hutumika
Reference kitabu cha frog into princes pamoja na kitabu cha mind reader cha lior suchard