Human Cloning (Kutengeneza kopi ya mtu/Binadamu)

Jeremiah Stephin

Senior Member
Feb 6, 2014
118
124
Cloning ni mbinu/kitendo Cha kutengeza kopi za vinasaba vya kiumbe flani Kisha kopi hizo hutumika kutengeza kiumbe mwingine mpya(clone).

Kitendo hiki kinahusisha utoaji wa seli,tishu na vinasaba vyote Kisha hupandikizwa kwa kiumbe mwingine(kopi,clone) ambaye hufanana kila kitu na kiumbe Cha asili(ambacho kimetolewa seli,tishu na vinasaba vyake vyote)

Natural cloning hutokea kwa mapacha wanaofanana(identical twins) na kwa viumbe wenye seli moja(single celled organisms) Kama bacteria ambao hutoa kopi zao kila wanapo zalia(multiple fission)

Leo nataka tujadili kidogo kuhusu Artificial cloning ambapo kiumbe mpya hutengeneza kwa kuchukua vinasaba kutoka kwa kiumbe mwingine na wote wakafanana..

Hii hufanyika maabara kwa Teknolojia inayoitwa genetic engineering ambapo vinasaba huchukuliwa kwa mtu mwingine Kisha vinatumika kutengeneza mtu mwingine..

Mtu mpya aliyetengenezwa(clone au kopi) hufanana kabisa na kiumbe halisi.pengine unaweza jiuliza kwa Nini tutengeneze kopi ya mtu?hizi Ni sababu chache ikiwemo za kisiasa,kijamii,uchumi n.k

WATU WALIO FANYIWA CLONING..
  1. Zipo nadharia kuwa Nelson Mandela halisi alifariki mwaka 1985 akiwa Gerezani Ila aliyetoka Gerezani hakuwa Nelson Mandela halisi Bali alikua Ni Gibson Makanda baada ya kufanyiwa cloning na plastic surgery ya uso ili afanane na Nelson Mandela,huyu alifariki 2013..#tutaongea vizuri hili next time
  2. Rapa Eminem pia inasemekana Eminem hapisi alikufa mwaka 2006 kutokakana na kuzidiwa na dawa za kulevya Ila kutokana na ushawishi wake mkubwa walitengeneza Eminem mpya amabaye tupo nae Hadi Sasa...eminem huyu sio sawa kabisa na yule wa Eight miles
  3. Beyonce pia yupo kwenye hii list
Pia kuna human cloning ambayo ni ya kusadika haina scientific proof na hufanywa Sana na wachawi,yes wachawi

Haujawahi kusikia zile story ya kwamba mtu kafa halafu baada ya kuzika unaambiwa kwenye jeneza hakukua na mtu ilikua Ni mgomba?lisemwalo lipo na hiyo ndio cloning ya kichawi Sasa..

Wachawi hutengeneza kopi ya mtu wanaemtaka,mtu halisi wanamchukua halafu nyie mnaachiwa kopi yake ambayo mtaishi nayo kwa mtu halafu inakufa..yule mtu original wanakua nae kwenye shughuli zao

Msiogope Sasa Mimi sio mchawi jamani Ila nime husisha tu cloning inayofanywa maabara na hii ya nguvu za kiza ambayo haina proof za kisayansi Ila wao wanaweza kufanya kwa njia zao za kichawi

Nawasilisha
 
Genetic Genome ya Mwanadamu ishakamilika all 46 chromosome zipo. kiganjani mwa Mwanadamu .. Papa na Watu wengi wa Dini wanaipinga sana Hii mana Inaenda Kinyume na Mafundisho yao
 
Mafundisho yote ya dini yeyote yatapinga kwa sababu utaonekana udhaifu wa mafundisho yao ambayo yapo kimaslai.
 
Cloning ni mbinu/kitendo Cha kutengeza kopi za vinasaba vya kiumbe flani Kisha kopi hizo hutumika kutengeza kiumbe mwingine mpya(clone).

Kitendo hiki kinahusisha utoaji wa seli,tishu na vinasaba vyote Kisha hupandikizwa kwa kiumbe mwingine(kopi,clone) ambaye hufanana kila kitu na kiumbe Cha asili(ambacho kimetolewa seli,tishu na vinasaba vyake vyote)

Natural cloning hutokea kwa mapacha wanaofanana(identical twins) na kwa viumbe wenye seli moja(single celled organisms) Kama bacteria ambao hutoa kopi zao kila wanapo zalia(multiple fission)

Leo nataka tujadili kidogo kuhusu Artificial cloning ambapo kiumbe mpya hutengeneza kwa kuchukua vinasaba kutoka kwa kiumbe mwingine na wote wakafanana..

Hii hufanyika maabara kwa Teknolojia inayoitwa genetic engineering ambapo vinasaba huchukuliwa kwa mtu mwingine Kisha vinatumika kutengeneza mtu mwingine..

Mtu mpya aliyetengenezwa(clone au kopi) hufanana kabisa na kiumbe halisi.pengine unaweza jiuliza kwa Nini tutengeneze kopi ya mtu?hizi Ni sababu chache ikiwemo za kisiasa,kijamii,uchumi n.k

WATU WALIO FANYIWA CLONING..
  1. Zipo nadharia kuwa Nelson Mandela halisi alifariki mwaka 1985 akiwa Gerezani Ila aliyetoka Gerezani hakuwa Nelson Mandela halisi Bali alikua Ni Gibson Makanda baada ya kufanyiwa cloning na plastic surgery ya uso ili afanane na Nelson Mandela,huyu alifariki 2013..#tutaongea vizuri hili next time
  2. Rapa Eminem pia inasemekana Eminem hapisi alikufa mwaka 2006 kutokakana na kuzidiwa na dawa za kulevya Ila kutokana na ushawishi wake mkubwa walitengeneza Eminem mpya amabaye tupo nae Hadi Sasa...eminem huyu sio sawa kabisa na yule wa Eight miles
  3. Beyonce pia yupo kwenye hii list
Pia kuna human cloning ambayo ni ya kusadika haina scientific proof na hufanywa Sana na wachawi,yes wachawi

Haujawahi kusikia zile story ya kwamba mtu kafa halafu baada ya kuzika unaambiwa kwenye jeneza hakukua na mtu ilikua Ni mgomba?lisemwalo lipo na hiyo ndio cloning ya kichawi Sasa..

Wachawi hutengeneza kopi ya mtu wanaemtaka,mtu halisi wanamchukua halafu nyie mnaachiwa kopi yake ambayo mtaishi nayo kwa mtu halafu inakufa..yule mtu original wanakua nae kwenye shughuli zao

Msiogope Sasa Mimi sio mchawi jamani Ila nime husisha tu cloning inayofanywa maabara na hii ya nguvu za kiza ambayo haina proof za kisayansi Ila wao wanaweza kufanya kwa njia zao za kichawi

Nawasilisha
Watu watakuja hapa na kukuambia hii ni conspiracy theory,kumbe ni jambo la ukweli kabisa.The Science to create a human clone,or a copy of human being is already there(i.e it is technically possible),ingawa hakuna evidence kwamba a human clone already exists.Hata hivyo naamini cloned humans wapo,tena wengi,Ila tunafichwa. Wana cite ethical issues kwamba ndiyo sababu,ingawa sidhani kwamba hiyo ndiyo sababu,kwa kuwa wao wenyewe hawana morals zozote na sio ethical.Rumours of cloned people are rampant hata hivyo,hasa celebrities.Mtu kama mke wa Clinton na uliowataja inasemekana ni cloned.

This is what Bill Clinton said with regards to human cloning way back in 1997.

Update:
Nimepata evidence of a cloned human being,hii hapa👇

Watu watakuja hapa na kukuambia hii ni conspiracy theory,kumbe ni jambo la ukweli kabisa.The Science to create a human clone,or a copy of human being is already there(i.e it is technically possible),ingawa hakuna evidence kwamba a human clone already exists.Wana cite ethical issues kwamba ndiyo sababu,ingawa sidhani kwamba hiyo ndiyo sababu,kwa kuwa wao wenyewe hawana morals zozote na sio ethical.Rumours of cloned people are rampant hata hivyo,hasa celebrities.Mtu kama mke wa Clinton na uliowataja inasemekana ni cloned.

This is what Bill Clinton said with regards to human cloning way back in 1997.

Let me follow this
 
Kuna swala la rais wa Urusi pia Mr Putin pia amefanyiwa human cloning hii ilipelekea hata mke wake kutoka mbio baada ya kung'amua maumbile yamebadilika
Hii nilishaisikia,ila sina ushahidi kamili.Putin mwenyewe alishawahi kuulizwa kama ni cloned.Jibu lake lilikuwa kwamba ni kweli walisham-consult wakamuomba wam-clone awe na "double" wake for "security" reasons lakini alikataa.Anyway Kama kweli alikataa sijui.Hii hata hivyo inaonyesha wazi kwamba human cloning sasa ni jambo la kawaida.
 
Duh
 
Cloning ni mbinu/kitendo Cha kutengeza kopi za vinasaba vya kiumbe flani Kisha kopi hizo hutumika kutengeza kiumbe mwingine mpya(clone).

Kitendo hiki kinahusisha utoaji wa seli,tishu na vinasaba vyote Kisha hupandikizwa kwa kiumbe mwingine(kopi,clone) ambaye hufanana kila kitu na kiumbe Cha asili(ambacho kimetolewa seli,tishu na vinasaba vyake vyote)

Natural cloning hutokea kwa mapacha wanaofanana(identical twins) na kwa viumbe wenye seli moja(single celled organisms) Kama bacteria ambao hutoa kopi zao kila wanapo zalia(multiple fission)

Leo nataka tujadili kidogo kuhusu Artificial cloning ambapo kiumbe mpya hutengeneza kwa kuchukua vinasaba kutoka kwa kiumbe mwingine na wote wakafanana..

Hii hufanyika maabara kwa Teknolojia inayoitwa genetic engineering ambapo vinasaba huchukuliwa kwa mtu mwingine Kisha vinatumika kutengeneza mtu mwingine..

Mtu mpya aliyetengenezwa(clone au kopi) hufanana kabisa na kiumbe halisi.pengine unaweza jiuliza kwa Nini tutengeneze kopi ya mtu?hizi Ni sababu chache ikiwemo za kisiasa,kijamii,uchumi n.k

WATU WALIO FANYIWA CLONING..
  1. Zipo nadharia kuwa Nelson Mandela halisi alifariki mwaka 1985 akiwa Gerezani Ila aliyetoka Gerezani hakuwa Nelson Mandela halisi Bali alikua Ni Gibson Makanda baada ya kufanyiwa cloning na plastic surgery ya uso ili afanane na Nelson Mandela,huyu alifariki 2013..#tutaongea vizuri hili next time
  2. Rapa Eminem pia inasemekana Eminem hapisi alikufa mwaka 2006 kutokakana na kuzidiwa na dawa za kulevya Ila kutokana na ushawishi wake mkubwa walitengeneza Eminem mpya amabaye tupo nae Hadi Sasa...eminem huyu sio sawa kabisa na yule wa Eight miles
  3. Beyonce pia yupo kwenye hii list
Pia kuna human cloning ambayo ni ya kusadika haina scientific proof na hufanywa Sana na wachawi,yes wachawi

Haujawahi kusikia zile story ya kwamba mtu kafa halafu baada ya kuzika unaambiwa kwenye jeneza hakukua na mtu ilikua Ni mgomba?lisemwalo lipo na hiyo ndio cloning ya kichawi Sasa..

Wachawi hutengeneza kopi ya mtu wanaemtaka,mtu halisi wanamchukua halafu nyie mnaachiwa kopi yake ambayo mtaishi nayo kwa mtu halafu inakufa..yule mtu original wanakua nae kwenye shughuli zao

Msiogope Sasa Mimi sio mchawi jamani Ila nime husisha tu cloning inayofanywa maabara na hii ya nguvu za kiza ambayo haina proof za kisayansi Ila wao wanaweza kufanya kwa njia zao za kichawi

Nawasilisha
Vladimir Putin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom