Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,262
- 2,191
Hii ni thread maalumu kwa ajili ya kukufahamisha/kufahamishana juu ya siri na hazina, bila kusahau mambo mbali mbali ya mamlaka ya mji wa Vatican nchini Italia. Kwa wakristu VATICAN ni mji mtakatifu(holy city) na ndiyo makao makuu ya kanisa katoliki duniani na pia makao makuu ya kiongozi mkuu (Papa) wa kanisa katoliki duniani.
Vatican ndiyo mji pekee duniani wenye mamlaka na utawala wake ndani ya nchi(Italy) unao ongozwa na kiongozi mkuu wa kanisa katoliki ambaye anaitwa Pope(Papa).
Mkataba wa lateran treaty ndiyo ulioufanya mji mtakatifu wa kanisa katoliki duniani kuwa mji pekee wenye mamlaka na utawala wake ndani ya nchi ya Italy, huku kiongozi mkuu wa mamlaka hiyo akiwa Papa. Baada ya majadiliano yaliyochukua miaka mingi, hatimaye mnamo tarehe 11 february 1929, cardinal Pietro Gaspari akimuwakilisha pope Pius XI na Benito Mussolini akimuwakilisha mfalme wa Italy wakati huo Emanuele III walisaini mkataba wa LATERAN TREATY kwenye chumba cha Papa katika makao ya Papa(lateran palace) mjini Roma(Rome) Italy. Mkataba huu ulitengeneza "the world's smallest sovereight state" yaani Vatican city, huku mji huu ukiwa na ukubwa wa 44 hectares.
THE LATERAN TREATY OF 1929
Katika mkataba huu ulioufanya mji wa Vatican kuwa sovereight state ndani ya mji mkuu wa Italy yaani Roma una articles 27, ila hapa nimeweka articles 4 zenye mambo ya muhimu sana kati ya pande mbili yaani serikali ya Italy na Vatican.
Article 1: Italy recognizes and reaffirms the principle established in the first Article of the Italian Constitution dated 4 March 1848, according to which the Catholic Apostolic Roman religion is the only State religion.
Article 2: Italy recognizes the sovereignty of the Holy See in international matters as an inherent attribute in conformity with its traditions and the requirements of its mission to the world.
Article 3: Italy recognizes the full ownership, exclusive dominion, and sovereign authority and jurisdiction of the Holy See over the Vatican as at present constituted, together with all its appurtenances and endowments, thus creating the Vatican City.
Article 4: The sovereignty and exclusive jurisdiction over the Vatican City, which Italy recognizes as appertaining to the Holy See, forbid any intervention therein on the part of the Italian Government, or that any authority other than that of the Holy See shall be there acknowledged.
Mussolini akishuhudia Cardinal Gaspari akitia sahihi mkataba Lateran Treaty wa mwaka 1929. Mkataba huu uliipa mamlaka kamili Vatican na kufanya utawala wa Papa uliokuwa ukitengwa na serikali ya Italy Zaidi ya miaka 60 kufika mwisho.
Katika picha hii kushoto ni Mussolini akitoa heshima na kusalimiana na mfalme Emanuele III(kulia) Roma 1922
Katika thread hii vyanzo vikuu vya taarifa na habari ntakazozileta kwenye uzi huu ni Padre MICHAEL COLLINS & BRENDA RAIPH LEWIS. Thread hii ina muendelezo kutokana na habari zinazohusu siri, utajiri na hazina ya Vatican kuwa nyingi sana , hivyo ningependa tuzijadili zote.
Vile vile katika thread hii kila mtu anaweza kushare na wana JF anachokijua au kukisikia kuhusu Vatican, lakini itapendeza zaidi ikiwa kile utakachokiandika hapa kitakuwa na uthibitisho.
Kama ulikuwa unasikia tetesi au habari za Vatican juu juu tu basi nikukaribishe katika thread hii ufahamu kinagaubaga kuhusu VATICAN (the Holy City).