Kwa shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama directorate K. Hii idara ilikuwa na kazi maalumu ya kufanya bugging , kile kitendo Cha kupandikiza vinasa sauti na video camera...
Kipindi kirefu tumekuwa tukijifunza na kusoma habari za Majambaz toka Mataifa ya nje. Nikakumbuka hapo nyuma nchini mwetu alikuwepo jambaz mbabe wa kimataifa katika jiji la mbeya aliyeitwa jombi...
Africa united in rejecting US request for military HQ
· Official admits 'a big image problem down there'
· Modified plan calls for a continent-wide network
Simon Tisdall in Washington
Tuesday...
400 hundred years of slavery ya mtu mweusi katika ardhi ya marekani na visiwa vya carribean.
Miaka mia kadhaa ya utumwa na ukandamizaji wa kiovu katika bara la Afrika.
Naelewa katika process ya...
Dhana ya Uongo imekuwa ni maisha yetu ya kila siku japo si jambo linalojadiliwa kwa upana sana ila athari zake zipo kila sekunde!.
Katika jamii nyingi uongo si jambo linalopendwa na vyombo vya...
Habari.
Kuna kitu huwa najiuliza sipati maybe ni cha kawaida kwenu ila naomba leo mnijuze.
Kwanini mkuu wa majeshi mara zote huwa anatoka JWTZ. Kwanini asitoke jeshi la polisi au jeshi la...
Dunia ya mwonekano na ulimwengu wa roho HAKUNA hata kimoja kinachotupa chochote iwe hewa, iwe maji iwe udongo na vingine vyote vilivyomo. Hakitupwi kitu.
Anza na uhai wa kiumbe hai chochote. Muda...
Hello bosses and roses.
Nimekua napokea maswali mengi kiasi kutokana na maandiko yangu kadhaa nioandika hapa siku za nyuma. Lakini maswali mengi yanajikita kwenye haya mawili, Je Taoism ni...
Ingawa wanasayansi wengi hawajawahi kusema wazi kuwa hakuna Mungu, tafiti na maelezo ya sayansi yanapokuja na majibu yanayotofautiana na maandiko ya dini, mara nyingi huleta tafsiri inayofanana na...
Kama kuna taifa ambalo gharama ya kulilinda ni kubwa hata gharama ya kuendesha maisha ni Hii ISRAEL ya sasa iliopo eneo lililojulikana kama Palestina (according to Roman empire). Gharama hii sio...
Jamani wandugu hilo ni swali ninaomba wenye uelewa mzuri juu ya theories za origin ya solar system na equivalent ya hizo anieleweshe kwa faida ya wengi
"Intelligence Spinning"
Ni uwasilishaji wa taarifa za kiintelligensia kwa namna iliyopindishwa kwa maslahi ya umma au viongozi.
Yaani kuna taarifa ni kwa ajili ya kuubhagaza umma ili uamini kitu...
Hello bosses....... Nimekaa na hii experience kwa muda mrefu ila leo nikakutana jamaa fln wanabishana khs dini nimeona ni bora niisimulie labda inaweza kusaidia. Ni story ndefu ila nitajitahidi...
Habari wakuu wa kuwazuka.
Unakaa sehemu au mawazo yakujia kichwani juu ya Jambo Fulani liwe Baya au Zuri kwamba linatoke au umekaa unasema MTU Fulani anakuja au upo na simu yako Kuna mambo...
Hii picha imenifikirisha sana, Nikizingatia mwenendo mbaya uliopo katika jamii na kizazi cha sasa kwa ujumla
Mwenendo ambao ni matokeo ya athari mbaya zilizotokana na utandawazi
Vipi mdau...
Humu mpo magenius, Watu mliojawa maarifa na hekima, Wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kupambanua mambo mbali mbalimbali
Note: Majibu na hoja yazingatie mantiki
Introduction
The advent of Artificial Intelligence (AI) has brought about revolutionary changes across industries. From automating repetitive tasks to performing complex problem-solving, AI is...
Nimekua nafuatilia sakata hili la UFO ama Aliens majina ambayo yamezoeleka na wengi kua ni viumbe ambavyo inasemekana vipo vinaishi na sisi SEHEMU ambayo pengine binadamu wa kawaida hatuwezi...
Wana JF, kamwene
Leo nataka tuguse kidogo sayansi ya siasa na intelijensia, lakini kwa lugha ya kwenye kahawa na kashata ili tusiumizane vichwa. Kuna nchi moja (tuiite nchi ya kusadikika)...
Peace||amani iwe nawe ✌🏾
Achana na ule upande wa pili wa Shilingi(sarafu), noti 💵 inapande tatu ukiachana na zile mbili zinazofahamika.
Upande wa tatu wa noti una picha au alama iliyowekwa na...