Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
THE deal stinks like a dead and rotting animal. Eti, the government rewarded the Tanzania International Container Services (TICTS) with an extension of its contract -- for doing a bad job! It...
1 Reactions
140 Replies
33K Views
Kutojijua Mwenyewe Mojawapo kati ya aibu kubwa ya kitabia ambayo hairekebishiki ni mtu kutoona aibu zake. Aghlabu upotofu na ubaya unatokana na ujinga na ujahili. Mara nyingi sifa na...
7 Reactions
53 Replies
9K Views
Madhara Ya Chuki, Uhasidi Na Uadui (Falsafa Binasfi) Leo nitajaribu kuelezea maradhi makubwa yanayo tusumbua wanadamu wengi kwenye nafsi zetu. Binadamu tunaye adui mkubwa kabisa ambaye tunaishi...
14 Reactions
24 Replies
14K Views
Serikali yamgeuka Reginald Mengi kwa kauli ya mapapa wa ufisadi * Waziri Sophia Simba asema Mengi kachemsha *Mkuchika naye asema wanamchunguza Ramadhan Semtawa na Leon Bahati...
0 Reactions
543 Replies
60K Views
Kama ulinunua iPhone baada ya June 2010 (iPhone 4). Basi ujue imehifadhi sehemu zote ulizowahi kwenda tokea uiwashe. Info yote hiyo imehifadhiwa kwenye faili linaloitwa consolidated.db ambalo...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Dr Ulimboka ni raia kama raia mwingine na watu wengi washakumbwa na makubwa zaidi yake. Tanzania ina watu milioni 45 sasa itawezekana vipi mtu mmoja awashughulishe watu wa JAMII FORUMS namna hii...
12 Reactions
156 Replies
22K Views
Naamini Kila mtu anajua kuwa maisha ni safari, safari yenye wingi wa changamoto za Kila Aina. Kila mmoja kapitia Mapito yenye wingi wa simulizi zenye kuleta hisia tofauti. Lakini Kwa pande wangu...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Nilikuwa natafakari juu ya uumbaji na kushangazwa na kitu kimoja cha ajabu; viumbe vingi hata vinavyoishi mazingira tofauti na vya aina (specie) tofauti sana vimefanana kwa kuwa na macho. Vinaweza...
7 Reactions
58 Replies
19K Views
Inashangaza Tanzania kujiita Kisiwa cha amani, nchi yenye utulivu, huku tukilalamikia kuongezeaka kwa vitendo vya Uharifu kuwa kunatokana na Idadi kubwa ya wakimbizi ambao wametokana na Nchi zenye...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Katika siku za karibuni kumekuwa na habari mbalimbali zikiripotiwa kuwa Polisi wamefanikiwa kuyaua Majambazi kadhaa katika matukio ambayo yalisababisha kurushiana risasi. Jambo...
0 Reactions
52 Replies
9K Views
Wakuu habari ya jioni, Jana mchana nilikuwa na jamaa fulani tunapiga story,akaja jamaa mwingine pale tulipokuwa na kusema juzi alh alpiga pombe sana kwa wachina wanaojiandaa kujenga barabara ya...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu heri ya mwaka mpya. Kwa muda sasa suala hili limekuwa likinisumbua. Imenitokea mara kadhaa kuwa naweza kuwaza kitu fulani au mtu fulani sura yake ikaja na baadaye kitu hicho hutokea au kama...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau kila taaluma zina kitu kinaitwa maadili ya taaluma . iwe ni sheria,uhandisi ICT, udaktari ,uhasibu, uchumi . etc Sasa basi tukumbushane tuelimishane baadhi ya code of ethics za...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Things That Can Ruin Your Health Here are some few things that can ruin your life if you are not careful.... Four things that make your body sick: Excessive talking Excessive sleeping...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Waungwana nimeisoma hii ikanipa shock, huu wimbo utaisha lini, sioni dalili ya kufikia hata kibwagizo, hebu check huu ubeti Mabilioni ya TCRA yaibua utata bungeni Mwandishi Wetu Juni 25...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
"State intelligence agencies can -- and do -- access citizens' private communications illegally". Read this article that is in the public domain in SA: Secret state: How the government...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
marekani now wamedizaini ndege ambayo haiwezi kuathiliwa na mionzi ya nyuklia pindi vita hii ya tatu itakapoanza, ndege hii inauwezo pia wakuingia chini ya bahari kama nyambizi inaitwa doomsday...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Imekuwa kawaida sasa kusikia serikali ikikataza maandamano ya vyama vya siasa kwa kile walichoita "sababu za kinteligensia' kuwa wangevuruga amani na mambo mengine kama hayo. Mshangao wangu ni...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF, itakumbukwa ya kuwa miezi kadhaa nyuma baada ya Mengi kuwatuhumu maofisa wa Polisi kutaka kumbambikizia mtoto wake madawa ya kulevya na kuwataja kwa majina na kiasi cha mgawo kilichopita...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamani nina stori ndefu inayonihusu mimi nilifunguliwa kesi na bado inaendelea kuhusu watu fulani walijiita maafisa bima lakini ni matapeli na mamlaka ya bima ilithibitisha hayo na hukumu ilisema...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…