Kwanini marais wetu wanalindwa na JWTZ badala ya Polisi?

likandambwasada

JF-Expert Member
May 27, 2015
5,402
6,072
Swalama waheshimiwa!

Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza kwanini marais wetu wanalindwa na jeshi la wananchi (JWTZ), Kwa sababu mimi nijuavyo kazi ya jeshi la wananchi ni kulinda usalama wa mipaka yetu!
Jukumu la usalama wa raia na mali zao limewekwa kwa jeshi la polisi!

Sasa, kwanini Marais wetu wanalindwa na JWTZ? Au hawauamini ulinzi wa polisi? Kwanin bodguard wa Rais asiwe polisi?

Dhumuni la hoja yangu ni kujua ukweli na kujifunza pia, kwa hiyo kukosoa ni ruksa.
KARIBUNI.
 
mimi bwana likanda kwa upeo wangu huu wa memkwa ni kwamba bara la africa tuna nchi 54 nchi ambazo uchaguzi unafanyika kwa haki hazifiki hata 2 sasa kwa mtindo huo wanaweka ulinzi wa hatari ili kuwalinda hawa wafalme yaani wizi ni tabia iliyokubuhu africa
 
Mkuu umetumia kiswahili Ila sijaelewa lkn Asante sio lazm nielewe Sana Ngoj nicheke nyuma ya keyboard

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swalama waheshimiwa!

Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza kwanini marais wetu wanalindwa na jeshi la wananchi (JWTZ), Kwa sababu mimi nijuavyo kazi ya jeshi la wananchi ni kulinda usalama wa mipaka yetu!
Jukumu la usalama wa raia na mali zao limewekwa kwa jeshi la polisi!

Sasa, kwanini Marais wetu wanalindwa na JWTZ? Au hawauamini ulinzi wa polisi? Kwanin bodguard wa Rais asiwe polisi?

Dhumuni la hoja yangu ni kujua ukweli na kujifunza pia, kwa hiyo kukosoa ni ruksa.
KARIBUNI.

Nfkr kwasababu yeye ni amiri jeshi
 
Kutokana na usalama kuwa mdogo san tofauti na nchi za ulaya zilizoendelea.unakuta wana technologia ya hali ya juu katika ulinzi wa viongozi ndo maana ukuti wanabeba siraha ovyo,unakuta tu wamepiga suti zao
 
ivi ulinzi ni nguvu au akili hawa wakwetu ni mhmh nguvu tu hamna kitu ngoja siku wapate mtaalamu awatoe jasho kidogo misilaha nje nje utadhani wanaenda vitani
 
Kuna action moja niliona kwa wenzetu jamaa walikuwa wanaweka ulinzi kwa ajiri ya raisi gafla mlinzi mmoja akaona panzia ktk chumba kimoja cha hotel ya ghorofa limecheza,ikabidi amwambie jamaa wa kwenye computer room kuw anamashaka na kile chumba yule jamaa aka scan kile chumba akaona watu wanafany tu mapenzi ikabidi amwambie jamaa kupo fresh wala asiwe na wasiwasi.technologia kama izo sisi huku hatuna
 
ni mpambe ndio unatakiwa umwambie kwann kavaa sare za jeshi?
*soma!
*fuatilia speech ya pro palamagamba alishalivunja hilo!
Neno mpambe lipo wazi kabisa sidhani kama linahitaji maelezo mengi,nilitaka aelewe kwamba yule hayuko kwa ajiri ya ulinzi pale bali alama.

Sasa mtataka mjue kwanini hayupo private pale Ila afisa tena canal na si juu wala chini ya hapo.
 
Back
Top Bottom